Wana-JF waongo waongo/sound sound

Wana-JF waongo waongo/sound sound

fabinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
3,042
Reaction score
2,221
Humu kuna watu hutupia uzi za ukweli kabisa,hata kama kuna uongo sawa lkn una tija,lakini sasa kuna wale kila kukicha wana vihadithi visivyo na kichwa wala miguu...sound na uongo uongo tupu ili mradi tu aonekane humu,kwa siku hata uzi tatu anatupia basi tafrani tupu...

Mfano kwangu ni Zero IQ na 5997. Hebu ongeza wengine uwajuao nasi tuwajue,itasaidia unafungua uzi wake,unasoma tu unasepa.
 
Zero IQ mzee wa kiepe,
Huyu majanga yake ni kama pimbi wa kwenye gazeti la sani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom