Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,628
- 3,535
Si nilikuambia dear....umeona hiyo...that is my shem....!!!
nimetulia tuli....sina la ziada.....naenda lala niki- smile......:wink2:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si nilikuambia dear....umeona hiyo...that is my shem....!!!
sometime umri si kitu
ndo zake my dear....mi hupenda tu surprise zake....watu watasubiri tuachane but itaendelea kuwa ngumu....anajua upooza/usuuza moyo wangu!!! :wink2::hand::hand::rain:
Hiyo ndo inatakiwa kwenye ndoa. Kwenye ndoa kuna kupishana, lakini cha muhimu ni kusameheana! ...All the best...🙂
Sasa my dear friends, naomba niwaage niwatakie usku mwema!
May God bless you and have sweet dreams!

Ha ha ha haaaaaaa
Natafuta binti plse msaada kwenu
ajapotea ila ninamtafuta