Wana JF

Wana JF

Thanks, Mie ni kaka!!

Ujumbe umefika na nakupongeza sana, maana leo tu ushapiga post 40, hii ndio ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi

BTW, unasapoti chama gani? CUF?
Hivi bado sijaeleweka tu niliposema kuwa mi si mwanasiasa???
 
We shabiki wa timu gani? Ngoja tujaribu kulihamisha hili jukwaa liwe la michezo sasa.
Nashukuru sana kwa hilo maana naona kama ni wewe tu ndiye unanielewa humu. hapa ni ze bluez aspirin.
 

Nashangaa huyu mnayemuita MS ana nini maana nimekuwa-bombarded hata kwenye jukwaa la mapenzi kuwa mimi ni MS.

Hapo ndipo unapohakikisha kwamba wewe ni mwenyeji !!! Iweje utokee chumbani uje piga hodi sebuleni !!!
 
Back
Top Bottom