Usipaniki mwana lunyasiSometimes sio lazima uthibitishe Maneno ya Manara ya wenye akili wawili kwa kuanzisha uzi usiokuwa na maana yoyote huku ukijifanya Shabiki wa Nguvu Moja.
Unaweza kuuchuna na ukaendelea kuonekana unajielewa kwa kiasi fulani kuliko kupayuka na kuuthibitishia umma ukosefu wa akili kwako.
Tafuta jina sahihi lolote, kikubwa ni kukimbia mechi. Kwako wewe unaona ni nafuu kutoingiza timu kabisa uwanjani, tena dakika za mwisho wakiwa njiani? 😁😁😁Kutokuingiza timu uwanjani hakuitwi ni kuweka mpira kwapani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama una kumbukumbu nzuri, hebu sema hadi wakati huo matokeo yalikuwaje, ili nikupime kwanzaSababu ya refa unaona sawa,yaani umecheza first half,umepigiwa pira jingi,ukapigwa goli Kisha hurudi...Hilo unaona sawa!!?...
1991 zamani ndugu yangu,nilikua darasa la nne,nadhani ilikua goli moja...Sina hakikaKama una kumbukumbu nzuri, hebu sema hadi wakati huo matokeo yalikuwaje, ili nikupime kwanza
Ha ha haaa! Basi tuishie hapo, hata matokeo hujui yalikuwaje!1991 zamani ndugu yangu,nilikua darasa la nne,nadhani ilikua goli moja...Sina hakika
Nikumbuke matokeo yote ya yanga!?...Sina vya kuweka kumbukumbu!!Ha ha haaa! Basi tuishie hapo, hata matokeo hujui yalikuwaje!
Ngoja nikusaidie lakini. Sangoma aliwaambia itakapofika half time mnaongoza hata goli moja, endeleeni kucheza mmalize game. Akasema ikiwa half time mpo sare au mpo nyuma, basi kipindi cha pili mtakufa nyingi. Basi wakafuata ushauri wa sangoma. Hadi half-time, ubao ulikuwa unasomeka 0 - 0 na wala mnyama alikuwa hajaonewa na refa na wala hajazidiwa, tena unaweza kusema alitawala kipindi. Lakini kwa kuwa waliamua kumfuata sangoma, watu walishangaa mnyama harudi uwanjani na sababu haikutolewa. Hizo za kusema refa anawauma zilikuja kusikika baadaye tu ila hata mashabiki wa Simba waliokuwa hawajui lolote kuhusu sangoma nao walishangaa pia1991 zamani ndugu yangu,nilikua darasa la nne,nadhani ilikua goli moja...Sina hakika
Walifungwa goli babu half time haikua bila bila,acha uwongoNgoja nikusaidie lakini. Sangoma aliwaambia itakapofika half time mnaongoza hata goli moja, endeleeni kucheza mmalize game. Akasema ikiwa half time mpo sare au mpo nyuma, basi kipindi cha pili mtakufa nyingi. Basi wakafuata ushauri wa sangoma. Hadi half-time, ubao ulikuwa unasomeka 0 - 0 na wala mnyama alikuwa hajaonewa na refa na wala hajazidiwa, tena unaweza kusema alitawala kipindi. Lakini kwa kuwa waliamua kumfuata sangoma, watu walishangaa mnyama harudi uwanjani na sababu haikutolewa. Hizo za kusema refa anawauma zilikuja kusikika baadaye tu ila hata mashabiki wa Simba waliokuwa hawajui lolote kuhusu sangoma nao walishangaa pia
Tutawakanda tena 5Nawaza tu kama hivyo vibabu vitasingizia tena bahasha za GSM, au vitakubali tu ukweli kuhusu uimara wa kikosi cha Wananchi wa Tanzania.
Ww hauna akili simba na yanga walikubaliana kutocheza kushinikiza musonye na genge watoe mkwanja wa maana, musonye na genge lake walikua wakizitumia simba na yanga kupiga pesa ila simba wakawageuka yanga wakapeleka team uwanjani.. ww ni mjinga mnoMwaka 2008, Julio akiwa kocha wa Simba akampigia simu Chuji mchezaji wa Yanga akamuuliza, mbona hamtokei uwanjani, kuna nini?
Chuji akamwambia Julio, tumeshatawanyika kwenda majumbani, viongozi wametuambia hakuna mechi! Basi hiyo ilikuwa ni mechi ya kutafuta mshindi wa tatu wa Kombe la Kagame (CECAFA), Simba ikakaguliwa, refa akasubiri dakika za kikanuni, akapuliza filimbi kumaliza mechi.
Simba akapewa ushindi, Yanga ikafungiwa miaka ya kutosha kushiriki michuano hiyo. baada ya hapo kukawa na uadui kati ya Yanga na CECAFA hasa Katibu Mkuu wake Nicholaus Musonye. Hivyo ndivyo Yanga ilivyoweka mpira kwapani
Soma hapa pia:
Kagame cup mshindi wa 3: Yanga waingia mitini
Duh naona Michuzi anatoa nyepesi kwamba Yanga tumeingia mitini.... Nimetokea sipo mjini na kila ninayempigia naye ni amezima simu!! Asalale, hii ni kuwapa wanyama cha kuongea manake si utani hii ndio inaitwa aibu ya karne, heri kulipa faini kuliko aibishwa na mnyama!! Kwa kweli naona uzalendo...www.jamiiforums.com
View attachment 2574851
Sababu ni kwamba simba na yanga wote walikubaliana kutocheza mechi hiyo kumkomoa mosonye ila simba wakawageuka yanga wakapeleka team uwanjaniIla Yanga tuwasamehe tu na akili zenu. Hivi unaweza ukaweka sababu nyepesi hivyo kuwa asilimia kubwa ya wachezaji ni majeruhi? [emoji16] [emoji16][emoji16]
Tangu lini Simba na Yanga wakubaliane kutopeleka timu halafu washabiki wa pande zote waende uwanjani?Sababu ni kwamba simba na yanga wote walikubaliana kutocheza mechi hiyo kumkomoa mosonye ila simba wakawageuka yanga wakapeleka team uwanjani
Mechi iyo unayosema mpaka half time ilikua 0-0 Refa alikua yule jamaa anaitwa Abdul Kadri ana Asili ya kisomali. Kocha wa Yanga Alikua marehemu Mziray.Walifungwa goli babu half time haikua bila bila,acha uwongo
Umetisha mnoo mnoooo igweeeeeeMwaka 2008, Julio akiwa kocha wa Simba akampigia simu Chuji mchezaji wa Yanga akamuuliza, mbona hamtokei uwanjani, kuna nini?
Chuji akamwambia Julio, tumeshatawanyika kwenda majumbani, viongozi wametuambia hakuna mechi! Basi hiyo ilikuwa ni mechi ya kutafuta mshindi wa tatu wa Kombe la Kagame (CECAFA), Simba ikakaguliwa, refa akasubiri dakika za kikanuni, akapuliza filimbi kumaliza mechi.
Simba akapewa ushindi, Yanga ikafungiwa miaka ya kutosha kushiriki michuano hiyo. baada ya hapo kukawa na uadui kati ya Yanga na CECAFA hasa Katibu Mkuu wake Nicholaus Musonye. Hivyo ndivyo Yanga ilivyoweka mpira kwapani
Soma hapa pia:
Kagame cup mshindi wa 3: Yanga waingia mitini
Duh naona Michuzi anatoa nyepesi kwamba Yanga tumeingia mitini.... Nimetokea sipo mjini na kila ninayempigia naye ni amezima simu!! Asalale, hii ni kuwapa wanyama cha kuongea manake si utani hii ndio inaitwa aibu ya karne, heri kulipa faini kuliko aibishwa na mnyama!! Kwa kweli naona uzalendo...www.jamiiforums.com
View attachment 2574851
waache wafukue makaburi yao labda yatawasaidia siku hiyo.Nawaza tu kama hivyo vibabu vitasingizia tena bahasha za GSM, au vitakubali tu ukweli kuhusu uimara wa kikosi cha Wananchi wa Tanzania.