Wana lunyasi wenzangu naona wakimsajili atuumize tu

Tunamsubiri kwa hamu huyu andunje
 
Attachments

  • 9C2024B9-01B3-4D29-9C44-D1F13A775401.jpeg
    9C2024B9-01B3-4D29-9C44-D1F13A775401.jpeg
    37.3 KB · Views: 1
Sometimes sio lazima uthibitishe Maneno ya Manara ya wenye akili wawili kwa kuanzisha uzi usiokuwa na maana yoyote huku ukijifanya Shabiki wa Nguvu Moja.

Unaweza kuuchuna na ukaendelea kuonekana unajielewa kwa kiasi fulani kuliko kupayuka na kuuthibitishia umma ukosefu wa akili kwako.
 
Usipaniki mwana lunyasi
 
Kutokuingiza timu uwanjani hakuitwi ni kuweka mpira kwapani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tafuta jina sahihi lolote, kikubwa ni kukimbia mechi. Kwako wewe unaona ni nafuu kutoingiza timu kabisa uwanjani, tena dakika za mwisho wakiwa njiani? 😁😁😁
 
Sababu ya refa unaona sawa,yaani umecheza first half,umepigiwa pira jingi,ukapigwa goli Kisha hurudi...Hilo unaona sawa!!?...
Kama una kumbukumbu nzuri, hebu sema hadi wakati huo matokeo yalikuwaje, ili nikupime kwanza
 
1991 zamani ndugu yangu,nilikua darasa la nne,nadhani ilikua goli moja...Sina hakika
Ngoja nikusaidie lakini. Sangoma aliwaambia itakapofika half time mnaongoza hata goli moja, endeleeni kucheza mmalize game. Akasema ikiwa half time mpo sare au mpo nyuma, basi kipindi cha pili mtakufa nyingi. Basi wakafuata ushauri wa sangoma. Hadi half-time, ubao ulikuwa unasomeka 0 - 0 na wala mnyama alikuwa hajaonewa na refa na wala hajazidiwa, tena unaweza kusema alitawala kipindi. Lakini kwa kuwa waliamua kumfuata sangoma, watu walishangaa mnyama harudi uwanjani na sababu haikutolewa. Hizo za kusema refa anawauma zilikuja kusikika baadaye tu ila hata mashabiki wa Simba waliokuwa hawajui lolote kuhusu sangoma nao walishangaa pia
 
Walifungwa goli babu half time haikua bila bila,acha uwongo
 
Tuwekee na lile dobo alilopigwa diara
 
Mwaka 2008, Julio akiwa kocha wa Simba akampigia simu Chuji mchezaji wa Yanga akamuuliza, mbona hamtokei uwanjani, kuna nini?

Chuji akamwambia Julio, tumeshatawanyika kwenda majumbani, viongozi wametuambia hakuna mechi! Basi hiyo ilikuwa ni mechi ya kutafuta mshindi wa tatu wa Kombe la Kagame (CECAFA), Simba ikakaguliwa, refa akasubiri dakika za kikanuni, akapuliza filimbi kumaliza mechi.

Simba akapewa ushindi, Yanga ikafungiwa miaka ya kutosha kushiriki michuano hiyo. baada ya hapo kukawa na uadui kati ya Yanga na CECAFA hasa Katibu Mkuu wake Nicholaus Musonye. Hivyo ndivyo Yanga ilivyoweka mpira kwapani

Soma hapa pia:

View attachment 2574851
Ww hauna akili simba na yanga walikubaliana kutocheza kushinikiza musonye na genge watoe mkwanja wa maana, musonye na genge lake walikua wakizitumia simba na yanga kupiga pesa ila simba wakawageuka yanga wakapeleka team uwanjani.. ww ni mjinga mno
 
Ila Yanga tuwasamehe tu na akili zenu. Hivi unaweza ukaweka sababu nyepesi hivyo kuwa asilimia kubwa ya wachezaji ni majeruhi? [emoji16] [emoji16][emoji16]
Sababu ni kwamba simba na yanga wote walikubaliana kutocheza mechi hiyo kumkomoa mosonye ila simba wakawageuka yanga wakapeleka team uwanjani
 
Kwa hyo uzi tayari hapo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sababu ni kwamba simba na yanga wote walikubaliana kutocheza mechi hiyo kumkomoa mosonye ila simba wakawageuka yanga wakapeleka team uwanjani
Tangu lini Simba na Yanga wakubaliane kutopeleka timu halafu washabiki wa pande zote waende uwanjani?
 
Walifungwa goli babu half time haikua bila bila,acha uwongo
Mechi iyo unayosema mpaka half time ilikua 0-0 Refa alikua yule jamaa anaitwa Abdul Kadri ana Asili ya kisomali. Kocha wa Yanga Alikua marehemu Mziray.

Wakati timu zinaingia uwanjani kabla ya kuanza mpira Mziray aliwaonyesha alama ya vidole viwili mashabiki wa Simba akimaanisha watakufa goli 2.

Alikua Akicheza na saikolojia ya Simba na kweli kipindi Cha pili Wakati wachezaji wanatoka vyumbani wachezaji wengine waliingia uwanjani wengine walielekea kule usawa wa vyooni walipo paki basi lao.

Inaonekana ata viongozi waligawanyika juu ya kutoa timu uwanjani.
Mwishowake wakaweka mpira kwapani.
 
Mwaka 2008, Julio akiwa kocha wa Simba akampigia simu Chuji mchezaji wa Yanga akamuuliza, mbona hamtokei uwanjani, kuna nini?

Chuji akamwambia Julio, tumeshatawanyika kwenda majumbani, viongozi wametuambia hakuna mechi! Basi hiyo ilikuwa ni mechi ya kutafuta mshindi wa tatu wa Kombe la Kagame (CECAFA), Simba ikakaguliwa, refa akasubiri dakika za kikanuni, akapuliza filimbi kumaliza mechi.

Simba akapewa ushindi, Yanga ikafungiwa miaka ya kutosha kushiriki michuano hiyo. baada ya hapo kukawa na uadui kati ya Yanga na CECAFA hasa Katibu Mkuu wake Nicholaus Musonye. Hivyo ndivyo Yanga ilivyoweka mpira kwapani

Soma hapa pia:

View attachment 2574851
Umetisha mnoo mnoooo igweeeeee
Sredi crozid
 
Back
Top Bottom