Wana lunyasi wenzangu naona wakimsajili atuumize tu

Simba alishakula goli half time,acha porojo
 
Kilwakivinje kakimbia Uzi wake mwenyewe.

Utopolo wanadhani wako na facts Sana .
 
Tukumbushane goli la Yanga lilifungwa nani?
Nimeanza fuatilia mpira wa Simba na yanga 1988,natakiwa nikumbuke magoli yote tangu hapo mpaka Leo nani alifunga!?...game rahisi kukumbuka goli ni ile baada ya mei 18 1991,said sued scud alifunga,kwa kuwa palikua na vitu viwili ambavyo sharti uvikumbuke,kwanza ilikua tangazo la biashara(wadhamini),tuliporudi uwanjani tunasikia shangwe,sisi wa redioni hapo hatujui japo hatusikii kidedea,pili mtangazaji akasema 'ni yuleyule wa mei 18,said sued scud'...hii hata shabiki wa Simba ataikumbuka Hadi anakufa,Sasa hiyo game Simba kaingia mitini hakuna kitu kitakufanya umkumbuke mfungaji
 
Yanga hakuwa bingwa wa Cecafa 1998
ubingwa ulichukuliwa na Apr ya Rwanda Znz
Ubingwa waliochukua yanga Uganda kwa Mara ya pili mbele ya Vila ilikua mwaka gani!?..maana ndiyo mwaka yanga alifika robo/makundi klabu bingwa afrika
 
Ubingwa waliochukua yanga Uganda kwa Mara ya pili mbele ya Vila ilikua mwaka gani!?..maana ndiyo mwaka yanga alifika robo/makundi klabu bingwa afrika
Yanga alichukua Ubingwa wa CECAFA tena pale Uganda mwaka 1999 si 1998 Kwa kuwafunga Sports club villa safari hii Kwa mikwaju ya Penalty hawakulipwa fedha za Ubingwa.
Mwaka 1998 mashindano yalifanyika Zanzibar bingwa alikua Rayon Kwa kuwafunga Mlandege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…