Wana Lupalilo wa Diaspora Wakabidhi Mfumo wa Sola wa Milioni 20 kwa Shule ya Sekondari Ilumaki

Wana Lupalilo wa Diaspora Wakabidhi Mfumo wa Sola wa Milioni 20 kwa Shule ya Sekondari Ilumaki

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wadau wa maendeleo waishio nje ambao wanatoka katika kata ya Lupalilo wilayani Makete mkoani Njombe, wamekabidhi mfumo wa sola wenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa shule ya Sekondari Ilumaki ili nishati ya umeme ipatikane shuleni hapo muda wote

Sola hizo zimekabidhiwa Julai 24, 2025 na Dkt. Octavian Kasanga ambapo amesema baada ya kupewa taarifa ya uwepo wa changamoto ya umeme kukatika shuleni hapo, wao kama wadau wakaichukulia changamoto hiyo kwa uzito mkubwa, na kuamua kununua mfumo mzima wa sola ili isaidie matumizi shuleni hapo hasa umeme unapokatika

Dkt. Kasanga amewasihi wanafunzi hao kujikita katika masomo kwa kusoma kwa bidii kwa kuwa miundombinu ya shule hiyo inazidi kuboreshwa siku hadi siku kwa ushirikiano kati ya wadau na serikali
 
Hivi hata buku nayo ni habari.Ndo yale lupapilo wamejamba wakimshukuru samia ushuzi ni wake
 
Back
Top Bottom