Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?

Umeonyesha uwezo wako ambao ninaukubali.
Wakati huo huo, umethibitisha uoga wako kwa Watawala ambao ni Chama cha CCM.
Sijui hali ilivyo hapo unapoishi Jijini Dar, lakini huku ninakoishi mimi, Kijijini, Kilomita 70 toka Makao Makuu ya Wilaya yangu, Chama cha CCM hakina Wanachama wala wapenzi.
Ili wanakijiji wafike kwenye mikusanyiko yake, ahadi za hongo na takrima ni lazima ziwepo.
Vinginevyo, CCM haipati wahudhuriaji.
Kati ya Chadema na CCM, Chama kinachohitaji msaada wa mawazo ni CCM.
Paskali unajua vema sababu ya wewe na wenzio kukataa kata kata TUME HURU YA UCHAGUZI.
Uchaguzi HURU na wa HAKI utakuwa JENEZA la CCM.
Hakuna mwana CCM hata mmoja anayethubutu kudai Tume Huru ya Uchaguzi.
Wewe Paskali huwezi kuthubutu kudai Tume Huru ya Uchaguzi, hususan kwenye 'forum' za CCM.
 
Duh...!.
P
 
Utareport forgery ya Barua ambayo Iko kwa msajili?, Labda kama ofisi ya msaji ingekuwa na nia nzuri ingewarudishisia Barua na kuwaomba Barua halisi, na aliyehusika kuforge ashughulikiwe,

Una tatizo kubwa sana la kufikiri
 

P,

Hawawezi kusamehewa Chadema kama taasisi haitawezekana kufanya hivyo hasa ukizingatia wote wamekubaliana kwamba covid 19 wamewekwa na CCM. na Mnyika haja sign haitaweza kutokea hili. Kama hawa covid 19 hawatakubali makosa watafukuzwa halafu waombe upya au waombe msamaha kwa barua za wazi. Wana Chadema wenye msimamo mkali kama Lissu na Mnyika hawataweza kukubali na Mbowe hawezi kuwaacha hawa wagawanye chama
 
Utareport forgery ya Barua ambayo Iko kwa msajili?
Watanzania tunahitaji sana civic education kujua ofisi gani inafanya nini!, what has ofisi ya Msajili got to do with issues za wabunge 19 wa Chadema?.
Labda kama ofisi ya msaji ingekuwa na nia nzuri ingewarudishisia Barua na kuwaomba Barua halisi, na aliyehusika kuforge ashughulikiwe,
Una tatizo kubwa sana la kufikiri
watu sio tuu wana tatizo kubwa la kufikiri, bali hata kujua tuu kitu kinachoitwa the right course of action.

TL ananote anafuatiliwa na a suspicious car, anaiandika number ya gari, anaitisha press conference na kuwatanjazia waandishi wa habari ili waandike.

Akiwa Dodoma anaona anafuatiliwa na a suspicious car, anaelekea nyumbani kwake!.

Hii issue ya wabunge, chama kinashangaa wameapishwa, barua imepelekwa ila Chadema hawajatoa barua, hivyo kuna jinai ya forgery, mnaitisha CC, fukuza wote, bila kuwasikiliza wala kuiona barua!.

Niliwahi kuuliza Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?
P
 
Nauliza tu hawa wasaliti ni kwa nini mpaka leo wanaendelea kula kodi za Watanzania bila wasiwasi wakati kimsingi walipaswa kuvuliwa ubunge?
 
Nauliza tu hawa wasaliti ni kwa nini mpaka leo wanaendelea kula kodi za Watanzania bila wasiwasi wakati kimsingi walipaswa kuvuliwa ubunge?
View attachment 3076939
Wanaotakiwa kujibu swali hili ni CCM (Serikali, Bunge na Mahakama). Chadema kama chama walishatimiza wajibu wao kulingana na matakwa ya Katiba.

Kwa Serikali ni Rais Dr. Samia Suluhu Hasan, kwa Bunge ni Spika Dr. Tulia Ackson na kwa Mahakama ni Mwanasheria Mkuu Dr. Eliezer Mbuki Feleshi.
 
Mahakama ilikwisha maliza jukumu lake, hapa wahusika ni Spika wa Bunge na Rais.
Kauli za Pascal kuhusu hawa wabunge huwa zinayumba sana ili atengeneze ajenda mpya kuhusu Chadema na vyakunyonga! Kwa wakiwasamehe tu, tayari atawapunch kwa kila aina ya lugha na maneno ya kuwabeza kwani mpaka sasa hakubali kuwa mahakama iliwapa ushindi Chadema!
 
Hoja za bandiko hili nazielekeza kwa Freeman Mbowe, jee ana macho na yanaona?. Je ana masikio na yana sikia?.
Jibu litapatikana kesho saa 5 asibuhi.
P
 
Hoja za bandiko hili nazielekeza kwa Freeman Mbowe, jee ana macho na yanaona?. Je ana masikio na yana sikia?.
Jibu litapatikana kesho saa 5 asibuhi.
P
Haya maswali yanafaa pia yaelekezwe kwako Pascal Mayalla , je una macho na yanaona? Je una masikio na yanasikia?

Bila shaka jibu kama lipo litapatikana kesho saa 5 asubuhi
 
Hoja za bandiko hili nazielekeza kwa Freeman Mbowe, jee ana macho na yanaona?. Je ana masikio na yana sikia?.
Jibu litapatikana kesho saa 5 asibuhi.
P
kwanza nilimuazima macho yangu Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

Hii haikusaidia kitu, ulipofika muda wa kuchinja,kichwa cha mtu kimeelekezwa kibla,inasibiriwa tuu siku na saa ya kuchinja wamshushie mapanga shaaa!Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!
P
 
Advocate una maoni gani chadema kuteka media na mada za mazungumzo right now????
Uchaguzi wao umekuwa "hot cake" what is the motive behind????
Hadi chawa wote wa ccm wanaizungumzia chadema vs Uchaguzi.
Katibu mkuu wa ccm ana ziara huko Tabora ila watu hawa pay attention.
Kunani??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…