We pimbi. tu
unajikanyakanyaga hueleweki unasimamia nini unasema unapenda haki
Lakini unaogopa kukemea upande flani usiotenda haki
Anauma na kupuliza?! [emoji3][emoji28]
Ako na ndimi mbili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We pimbi. tu
unajikanyakanyaga hueleweki unasimamia nini unasema unapenda haki
Lakini unaogopa kukemea upande flani usiotenda haki
Uhalali wa kutumia emergency powers unakuja kwasababu process yote ya kuwa fanya wabunge halali ilikuwa inafanywa kwa haraka sana kwasababu Chadema wanasema documents zote walizotumia kupata ubunge zilikuwa forged!!Mkuu Bulesi, kwanza nikupongeze tena kwa objectivity yako, kwasababu ni wachache sana humu wanaozijua emergency powers za CC ya Chadema to overrides the roles of Baraza Kuu na Mkutano Mkuu in case of emergency.
Nimekupongeza kwasababu kwanza hizi emergency powers za CC ya Chadema, hazikuwepo kwenye katiba ya Chadema ya 2006 wakati wanamtimua Zitto. Hivyo Zitto Kabwe hakutimuliwa kwa haki na wahusika wakuu wote wameisha kula karma zao according to their roles.
Baada ya utimuaji haramu wa Zitto ndipo Mkutano Mkuu wa Chadema ukafanya mabadiliko madogo ya katiba na kukasimu mamlaka ya kusimamisha mwanachama yoyote incase of emergency.
Ila pia kuna kanuni za application ya hizo emergency powers, there has to be a serious emergency situation that needs urgency action, ukichelewa kuchukua hatua, will worsen the situation!.
In this case
1. Appointment letter kutoka Chadema imekwenda NEC kuwateua.
2. Barua za uteuzi kutoka NEC kwenda bungeni zimepelekwa.
3. Bunge limewapokea limewaapisha hivyo tayari ni wabunge halali,
Kuna emergency gani hapa to warrant and justify the use ofvemergency powers za CC ya Chadema?. The harm was already done, ukiwatimua kwa haraka, unakuwa umezuia nini?. Ukisubiri na kutumia the normal process ungeharibu nini?.
Tukubali tukatae, Chadema kuna udhaifu mkubwa kwenye kufuata katiba yake, na nilisema The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!
Mimi ni Mzee wa masauti na karma, naendelea kusisitiza tiba salama ya kulimaliza hili kwa amani ni Chadema is left with only two options
1. Ifanye a due process of doing things right kwa kuwatimua kwa haki kwa mujibu wa katiba ya Chadema
Or
Wawasamehe.
Wakristo walioko Chadema ile sala ya Baba Yetu sijui huwa wanaisali kwa mazoea tuu kama wimbo but they don't mean what they pray?!
P
Wabunge tayari waliisha apishwa, na kuwa ni wabunge halali, what is the emergency ya kuwafuta ubunge wao, kungezuia madhara gani?, yaani CC ya Chadema inaharakishia nini?!.Uhalali wa kutumia emergency powers unakuja kwasababu process yote ya kuwa fanya wabunge halali ilikuwa inafanywa kwa haraka sana
Forgery ni jinai!, Chadema iliripoti wapi hii jinai?. Masikini ya Mungu, KM wa Chadema, JJ. Mnyika didn't know the truth, baadae akashikwa sikio, hivyo hakuiripoti hii jinai popote!, unajua ni kwanini?.kwasababu Chadema wanasema documents zote walizotumia kupata ubunge zilikuwa forged!!
It's true documents zilipaswa kuidhinishwa na KM, and it's true KM, hakuidhinisha, ila kuna mtu wa Chadema aliidhinisha!. Barua ya uteuzi kutoka Chadema ni Barua bona-fide genuine ila haikusainiwa na KM!, ndio maana nimewauliza humu, Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?Katibu mkuu chadema anakataa kuwa wao waliwaidhinisha kuteuliwa kuwa wabunge
Kanuni ya ushahidi dunia nzima ni "he who alleges, must prove", anayedai kuna forgery ndio athibitishe!. Kwanini mpaka ninapoandika hapa, Chadema hawajaripoti forgery popote!.sasa hapo ni juu ya hao wasaliti kusema hizo documents zilizoidhinisha kuteuliwa kwao zilitoka kwa nani? Halima Mdee ana jibu la swali hilo!
Tume ya uchaguzi ilikuwa na jukumu la kuauthenticate zile documents kabla ya kuzikubali baada ya Chadema kusema kuwa zile hazikuwa documents zao!!Wabunge tayari waliisha apishwa, na kuwa ni wabunge halali, what is the emergency ya kuwafuta ubunge wao, kungezuia madhara gani?, yaani CC ya Chadema inaharakishia nini?!.
Forgery ni jinai!, Chadema iliripoti wapi hii jinai?. Masikini ya Mungu, KM wa Chadema, JJ. Mnyika didn't know the truth, baadae akashikwa sikio, hivyo hakuiripoti hii jinai popote!, unajua ni kwanini?.
It's true documents zilipaswa kuidhinishwa na KM, and it's true KM, hakuidhinisha, ila kuna mtu wa Chadema aliidhinisha!. Barua ya uteuzi kutoka Chadema ni Barua bona-fide genuine ila haikusainiwa na KM!, ndio maana nimewauliza humu, Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
Kanuni ya ushahidi dunia nzima ni "he who alleges, must prove", anayedai kuna forgery ndio athibitishe!. Kwanini mpaka ninapoandika hapa, Chadema hawajaripoti forgery popote!.
Unawatimuaje bila kuiona barua yao ya uteuzi and authenticate it?!.
Nimewaeleza humu Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani? the best way forward ni kuchutama!.
P
Anayefanya authentification ya forged document ni the originator and not the recipient!. By the time Chadema wanasema hawajaandika, barua, barua iliishapokelewa na wabunge wameisha apishwa!. The right cause of action ilikuwa ni Chadema wafanye due diligence process, waone hiyo barua iliyowateua, namna pekee ya kuiona ni kuripoti uhalifu, polisi ndio wangeifuata hiyo barua NEC, kisha kuja Chadema kuona headed paper yao, stamp yao na signature na kuzifanyia forensic investigation, na kuja na majibu kama kweli kuna forgery!, Huwezi kufukuza watu uanachama kwa tuhuma za forgery wakati huna any evidence ya forgery!. Naendelea kuwasisitizia watu humu, kiukweli wale 19, ni Makamanda vyuma vya pua, barua yao ya uteuzi ni bona-fide genuine, headed paper ya Chadema ni bona-fide genuine, muhuri wa Chadema ni bona-fide genuine, ila sigmature sio ya KM, swali ni kwanini KM hajairipoti hii forgery?, ... anasababu nzuri tuu!.Tume ya uchaguzi ilikuwa na jukumu la kuauthenticate zile documents kabla ya kuzikubali baada ya Chadema kusema kuwa zile hazikuwa documents zao!!
Unajua baada ya CC kuwatimua, jee unajua kuna kiongozi mmoja wa Chadema aliwaita kukutana nao mahali?. Unamjua kiongozi huyo ni nani?, aliwaita wapi?, kuwaambia nini?.Mbowe mwenyewe anayedhaniwa kuwa alitoa go ahead mbona amewakana?
Hata kama hakuna hata mpinzani mmoja Bungeni, hakuna mhisani yeyote aliyetishia kusitisha misaada!Zile zote zilikuwa ni mbinu chafu za ccm ili wa wapate wabunge wa upinzani ili waweze kuwarubuni wahi sanı watoe misaada waliotishia kuisitisha!
Sio kazi kazi ya NEC kujua nani ameidhinisha uteuzi, kazi ya NEC ni imepokea barua ya uteuzi toka Chadema, yenye majina, headed paper, muhuri na imesainiwa, ika proceed. Kama ni barua ya forgery, the burden of proof, lies with Chadema!. Forgery ni jinai, kwanini mpaka leo Chadema hawajaripoti ili jinai hiyo ichunguzwe?!.Mbona hiyo tume ya uchaguzi haijaja mbele na kusema nani aliidhinisha uteuzi huo!
CCM inaingiaje hapo?, kwenye conspiracy theory, the first and the foremost ni conspiracy inside Chadema wenyewe!. Kati ya hao 19, 4 kati yao na wenza wa wajumbe wa CC, pika, pakua!.Hiyo inadhihilisha kuwepo conspiracy kati ya serikali/ccm na tume ya uchaguzi kuwaingiza covid 19 bungeni kinyemela!
Naomba itoshe!. Utaratibu wa kuripoti uhalifu au jinai yoyote ni obligation sio choice!, niliwahi kuwauliza humu, Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?Hata mahakama jinsi ilivyoendesha kesi ya hawa wanawake ni dhahiri kuwa huu mpango ulisukwa na serikali!
Remember to disown documents is not making “ an allegation “!
You are arguing as if you do not live in this country where the legislature and judiciary are not independent; they are dictated to by the executive!Anayefanya authentification ya forged document ni the originator and not the recipient!. By the time Chadema wanasema hawajaandika, barua, barua iliishapokelewa na wabunge wameisha apishwa!. The right cause of action ilikuwa ni Chadema wafanye due diligence process, waone hiyo barua iliyowateua, namna pekee ya kuiona ni kuripoti uhalifu, polisi ndio wangeifuata hiyo barua NEC, kisha kuja Chadema kuona headed paper yao, stamp yao na signature na kuzifanyia forensic investigation, na kuja na majibu kama kweli kuna forgery!, Huwezi kufukuza watu uanachama kwa tuhuma za forgery wakati huna any evidence ya forgery!. Naendelea kuwasisitizia watu humu, kiukweli wale 19, ni Makamanda vyuma vya pua, barua yao ya uteuzi ni bona-fide genuine, headed paper ya Chadema ni bona-fide genuine, muhuri wa Chadema ni bona-fide genuine, ila sigmature sio ya KM, swali ni kwanini KM hajairipoti hii forgery?, ... anasababu nzuri tuu!.
Unajua baada ya CC kuwatimua, jee unajua kuna kiongozi mmoja wa Chadema aliwaita kukutana nao mahali?. Unamjua kiongozi huyo ni nani?, aliwaita wapi?, kuwaambia nini?.
Hata kama hakuna hata mpinzani mmoja Bungeni, hakuna mhisani yeyote aliyetishia kusitisha misaada!
Sio kazi kazi ya NEC kujua nani ameidhinisha uteuzi, kazi ya NEC ni imepokea barua ya uteuzi toka Chadema, yenye majina, headed paper, muhuri na imesainiwa, ika proceed. Kama ni barua ya forgery, the burden of proof, lies with Chadema!. Forgery ni jinai, kwanini mpaka leo Chadema hawajaripoti ili jinai hiyo ichunguzwe?!.
CCM inaingiaje hapo?, kwenye conspiracy theory, the first and the foremost ni conspiracy inside Chadema wenyewe!. Kati ya hao 19, 4 kati yao na wenza wa wajumbe wa CC, pika, pakua!.
Naomba itoshe!. Utaratibu wa kuripoti uhalifu au jinai yoyote ni obligation sio choice!, niliwahi kuwauliza humu, Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?
P
Apology accepted, nina ngozi ngumu, huna haja kufuta bandiko.Mkuu usichukulie kwa namna tofauti, So sorry ikiwa nimekukwaza lakini intention haikuwa mbaya. Nafuta bandiko na pole
If wishes were horses, beggars would ride!. Uteuzi wa nini naelekea 60!. Mimi ni mwandishi wa habari na muelimishaji umma, for all my life, na sijawahi kuwinda teuzi hata mara moja in all my life, ndio maana I'm always critical and objective.Ulaaniwe wewe na uzao wako, wewe jitu la hovyo kabisa. Umekomaa na chadema badala ya kujikomba ukapata uteuzi unaoutafuta kwa udi na uvumba.
Kuna vitu watu tunaviandika humu, sio kupoteza muda, vinasaidia!. Mfano ni bandiko hili angalia hiki kinachotokeaKwenye hili la Wabunge 19, je Chadema wawasamehe wabarikiwe, au waendelee kukomaa nao mpaka kieleweke hata kama ni kulaaniwa?
.
Kwa vile mimi namfahamu Freeman Mbowe kuliko Chadema wengi, Mbowe ni muungwana, Mbowe ni mtu wa shukrani, na baada ya kikao cha CC kuwatimua, Freeman Mbowe aliingia huruma na kufukuzwa kwao, akawasamehe, akawaita Nairobi, akawasamehe, akawashauri waombe msamaha, ili wayamalize, wakamgomea!.
It's high time Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Aikael Mbowe, kuitumia kofia yake ya Uenyekiti wa Chadema kwa kuitekeleza kwa vitendo sala ya Baba Yetu, kwa mtindo wa reciprocity kama yeye alivyosamehewa bila kuomba msamaha, sasa ni zamu ya na yeye kusamehe tuu bila kuombwa msamaha?., au Chadema iendelee kukomaa nao ili kuwaonyesha, kuwakomoa na kuwanyorosha?.
Paskali
Mkuu chiembe, asante sana kwa taarifa hii Easter Bulaya: Mwenyekiti wetu wa Chadema, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa MachameHalima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wq habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.
Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
Mzee wa kitimoto, una maonoKuna vitu watu tunaviandika humu, sio kupoteza muda, vinasaidia!. Mfano ni bandiko hili angalia hiki kinachotokea
Mkuu chiembe, asante sana kwa taarifa hii Easter Bulaya: Mwenyekiti wetu wa Chadema, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa Machame
Niliwahi kuuliza Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
Kisha nikasema Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?
Hiki alichokifanya Chairman Mbowe ndio highest standards of statesmanship, Halima ni born and breed Chadema, kaipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu, she is a human being anaweza kukosea, hivyo tofauti za kichama zisijenge uadui kwenye social events zozote za shida na raha, Halima ni yule yule aliyelelewa Chadema.
Hongera sana Chairman Mbowe, kusameheana kupo na mkifuata ushauri huu Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?
mtabarikiwa sana!.
Happy New Year
P
Mkuu Kamundu , kwanza Happy New Year!. Kughushi ni kosa la jinai,Lll kungekuwa na Kughushi kokote, Chadema ingeisha ripoti!.Tatizo hao wabunge 19 hawataweza kusamehewa bila kukiri makosa yao ka kughushi. Hapo ndiyo tatizo kubwa bila kukubali hakuna kikao kinaweza kuwasamehe kwasababu Chadema ni taasisi. Inawezekana viongozi binafsi wamesha samahe lakini Chama ni taasisi na hawataweza kusamahe bila wabunge kukiri huo ndiyo ukweli. Tusipoteze muda kwenye hili
Asante sana Mkuu fundimchundoHeri ya Mwaka Mpya Paskali.
ni kweli naelekea 60, watoto wangu watatu, kila mmoja ana watoto wawili, hivyo I'm grand of 6!.Leo ni 2024.
Tafsiri yangu ni kwamba umri wako unazidi kuongezeka.
Na tafsiri ya umri kuongezeka ni kukua kwa busara yako.
Ni kweli mimi ni mwana CCM, ila ni mwanaccm anayetanguliza mbele maslahi ya taifa, hivyo kwenye maslahi ya taifa, chama kinachohitaji msaada zaidi ni Chadema na sio CCM, hivyo nimejitolea kusaidia kwa kuwashauri.Unajulikana kuwa wewe ni mwana CCM.
Na kama kawaida ya Vyama vyote vikubwa Tanzania, hususan CCM na Chadema, kuna migogoro ya hapa na pale.
Ili utuonyeshe ukomavu wako, achana na Chadema, rudi kwenye Chama chako, utuandikie migogoro iliyopo CCM.
Ukichagua nguruwe, chagua aliyenona, he is the best we have, let the bygones be bygones sasa wote ni dam dam.Mathalani, tumeona aliyemfukuzisha Uwaziri Nape Moses Nnauye, akipewa kazi ya kumrithi Nape Nnauye ndani ya CCM.
Huyu mtesi wa Nape Nnauye, aliyekuwa akila na kusaza na watu waliowatesa pia Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahaman Kinana na Katibu Mkuu mstaafu Luteni Yusufu Makamba, sasa ni Mjumbe wa Kamati Kuu na Msemaji Mkuu wa Chama.
Karma imenyooka, what goes around, comes around. Wenye jicho la rohoni tumeona Karma inavyokula vichwa, ukimuona mtu anazidi kupeta, ujue he has no hand on that, he clean!.Karma inasemaje kuhusu hawa watu na hayo yanatokea katika Chama chako?
Labda kwa wasio nifahamu, lakini kwa wanao nifahamu vizuri wanajua what I stand for, sijawahi kutafuta uteuzi kutoka kwa yeyote.Vinginevyo, mpendwa Paskali, utaonekana kama mwenye mrengo wa upande mmoja, mwenye lengo la kujaribu kujisafishia njia ili ikiwezekana, upate uteuzi.
Asante sana.Kwa umri wako na uwezo wako wa kufikiri na kuandika, (ambao ninakiri kuukubali),
Asante nitakuwa!ulitakiwa uwe "Jenerali Ulimwengu" wa JamiiForums
Writing without fear or favour.
Asante Sana, Happy New YearNa uwezo huo unao.
Ulituonjesha Watanzania miaka Ile kwenye kipindi chako cha 'Kiti Moto'.
Yes, you can.
Happy New Year 2024 Paskali.
Wenyewe wamesha sema hawajawahi ku sign hiyo barua. Sasa hiyo barua imetengenezwa na wenyewe 19!Mkuu Kamundu , kwanza Happy New Year!. Kughushi ni kosa la jinai,Lll kungekuwa na Kughushi kokote, Chadema ingeisha ripoti!.
Barua ya uteuzi kutoka Chadema kwenda NEC ni legit, bonafide genuine, ila haijasainiwa na KM!, ingekuwa ni busara kwa Chadema, kabla hawajawatimua wangeiona kwanza barua yao ya uteuzi imesainiwa na nani, huyo aliyesaini ndie angepaswa kushughulikiwa kwa kuripotiwa police kuwa ameghushi, ndiye mkosaji anayepaswa kuomba msamaha.
Ukumbuke barua ya uteuzi kutoka Chadema ni Barua moja tuu yenye majina yote 19, aliyeghushi ni aliyeandika na aliyesaini, wao wamejikuta wameteuliwa, kosa lao ni lipi la kuombea msamaha?.
Uthibitisho wa jinai ya Kughushi ungepelekea NEC kutengua uteuzi wao na Bunge lingewavua ubunge wao, na huku kote wala tusingefika!.
P
Mkuu Kamundu , kuna vitu vya kusema na kuna vitu vya kuandika, hata kwenye mapenzi kuna kutongoza kwa maneno tuu, unakutana na mwanamke unamwambia, "I love you", "I need you ", mkakubaliana mka do, mnakwenda mahali, unapewa!, lakini tukija kwenye mahusiano rasmi, lazima aandike barua ya posa, na ndoa ina cheti cha ndoa na sio I love you!.Wenyewe wamesha sema hawajawahi ku sign hiyo barua. Sasa hiyo barua imetengenezwa na wenyewe 19!