PreGE2025 Wana masumbwi waja na Knockout ya Mama, uchawa unaua michezo kidogo kidogo kadri siku zinavyoenda

PreGE2025 Wana masumbwi waja na Knockout ya Mama, uchawa unaua michezo kidogo kidogo kadri siku zinavyoenda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Haya sasa mmeletewa knockout ya mama huko, mkapigane kwaajili ya mama, aloo🤣🤣.

Naona huu uchawa ndio umekuwa sehemu za kumuondolea stress kwenye sekeseke ukatili wa polisi na haki za binadamu pamoja na kesi zinazofunguliwa huko dhidi ya Tz, asije akafa kwa presha🥲🥲.

IMG_20250524_103607_572.jpg
 
Mwaka huu mtakoma,,,, kokote mtakapo kwenda ni mama, mkisikiliza radio ni mama, mkiangalia TV ni mama, mkiwa kwenye daladala au mnaendesha gari ni mama, hata mkiwa chumbani na wake zenu ni mama.......
 
hAO MAfia Boxing wana MkataMauno wao....
 
Wasoma Comments wa Mama (WCM).

Wasoma comments wenzangu twendeni tukasajili na hii Brela. Mimi nitakuwa katibu. Ajitokeze mwenyekiti na wajumbe wengine.
 
Hakuna asiyetaka kwenda na "trend".... Thats how life is.
Unafki unalipa.
 
Kanga moko ya mama
Mizagamuano ya mama
Kitchen party ya mama
Kibao kata cha mama

Hii nchi umama umama mwingi.
 
Back
Top Bottom