Mwaka huu mtakoma,,,, kokote mtakapo kwenda ni mama, mkisikiliza radio ni mama, mkiangalia TV ni mama, mkiwa kwenye daladala au mnaendesha gari ni mama, hata mkiwa chumbani na wake zenu ni mama.......Wakuu,
Haya sasa mmeletewa knockout ya mama huko, mkapigane kwaajili ya mama, aloo🤣🤣.
Naona huu uchawa ndio umekuwa sehemu za kumuondolea stress kwenye sekeseke ukatili wa polisi na haki za binadamu pamoja na kesi zinazofunguliwa huko dhidi ya Tz, asije akafa kwa presha🥲🥲.