Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,882
Wanambeya nawaaminia kuongozwa na huyo kimbaumbau mwenye roho mbaya ni aibu.Tumeshaamua tu na hatumtaki kabisa hapa mbeya
Hata kama mkivunjwa miguu tambaeni hadi kwenye vituoLabda watuvunje miguu sisi woote
Hakuna Cha Ushawishi mkuu. Au Unasimuliwa. Kelele za Magari kila uchao kwenye makazi ya Watu ndiko kukubalika.Mkuu ushawishi wa huyu dada Mbeya unaongezeka Kila uchao na Kama upo karibu na sugu mwambie asipoteze pesa nyingi kwa kampeni,afanye maisha maana lolote laweza tokea.
Anajisumbua tuHakuna Cha Ushawishi mkuu. Au Unasimuliwa. Kelele za Magari kila uchao kwenye makazi ya Watu ndiko kukubalika.
Anajaribu Kutumia Nguvu kubwa naKugawa gawa Pesa kwa wanawake, lakini anajua fika hawezi Kupata Kura za uhalali.
Du ipo kazi kweli kwani Ubunge alionao siaendelee nao mpaka akagombee?Sisi wana Mbeya tumeyaona anayoyafanya akiwa bungeni.
Sisi tumeshazoea kutenda haki na hivyo basi hatupo tayari kuongozwa na mtu asiye ipenda haki maana bila haki hakuna maendeleo.
Mbunge wetu tuliye naye anatutosha.
View attachment 1278080
Tuambie wewe mwenye Miaka 800Wewe una miaka 26 utayajuaje maendeleo wakati bado unanuka maziwa mdomoni
Je Kama ccm wameichoka,na yeye wamemchoka?maana nasikia wanambeya wananufaika kabla hajawa mbunge wao kwa misaada lukuki.Kwa sasa ndiyo watu wameichoka sana ccm kuliko wakati mwingine wowote
Mmawia na Mbeya wapi na wapi bana?Sisi wana Mbeya tumeyaona anayoyafanya akiwa bungeni.
Sisi tumeshazoea kutenda haki na hivyo basi hatupo tayari kuongozwa na mtu asiye ipenda haki maana bila haki hakuna maendeleo.
Mbunge wetu tuliye naye anatutosha.
View attachment 1278080