Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

Mkuu ushawishi wa huyu dada Mbeya unaongezeka Kila uchao na Kama upo karibu na sugu mwambie asipoteze pesa nyingi kwa kampeni,afanye maisha maana lolote laweza tokea.
Hakuna Cha Ushawishi mkuu. Au Unasimuliwa. Kelele za Magari kila uchao kwenye makazi ya Watu ndiko kukubalika.
Anajaribu Kutumia Nguvu kubwa naKugawa gawa Pesa kwa wanawake, lakini anajua fika hawezi Kupata Kura za uhalali.
 
Anajisumbua tu
 
Wana mbeya mnamatatizo kweli ila mungu awasaidie tu

Siasa za Leo zimekuwa kama kubeti tu ukimpinga mtu tu unaambiwa unatumiwa

Kwa Leo niishie hapa
 
Wewe una miaka 26 utayajuaje maendeleo wakati bado unanuka maziwa mdomoni
Pole sana ila nakutaadhalisha tu isije siku ukagundua kuwa mimi ndiye ninaye kulipa mshahara
 
Sisi wana Mbeya tumeyaona anayoyafanya akiwa bungeni.

Sisi tumeshazoea kutenda haki na hivyo basi hatupo tayari kuongozwa na mtu asiye ipenda haki maana bila haki hakuna maendeleo.

Mbunge wetu tuliye naye anatutosha.

View attachment 1278080
Du ipo kazi kweli kwani Ubunge alionao siaendelee nao mpaka akagombee?
 
Haijalishi maana hata wabunge walio gombea na mh Sugu walikuwa wana wanufaisha wana mbeya lkn tuliwakataa
Je Kama ccm wameichoka,na yeye wamemchoka?maana nasikia wanambeya wananufaika kabla hajawa mbunge wao kwa misaada lukuki.
 
Sisi wana Mbeya tumeyaona anayoyafanya akiwa bungeni.

Sisi tumeshazoea kutenda haki na hivyo basi hatupo tayari kuongozwa na mtu asiye ipenda haki maana bila haki hakuna maendeleo.

Mbunge wetu tuliye naye anatutosha.

View attachment 1278080
Mmawia na Mbeya wapi na wapi bana?
Unatafutwa kwenu Mweda huko 🤣
 
Back
Top Bottom