Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Sisi wana Mbeya tumeyaona anayoyafanya akiwa bungeni.

Sisi tumeshazoea kutenda haki na hivyo basi hatupo tayari kuongozwa na mtu asiye ipenda haki maana bila haki hakuna maendeleo.

Mbunge wetu tuliye naye anatutosha.

FB_IMG_1575190134993.jpeg
 
Kwa taarifa yako ni kuwa mh Sugu hapa mbeya wala hatumiagi fedha ili tumchague.

Sisi tunachagua utendaji wake wala siyo fedha.
Mkuu ushawishi wa huyu dada Mbeya unaongezeka Kila uchao na Kama upo karibu na sugu mwambie asipoteze pesa nyingi kwa kampeni,afanye maisha maana lolote laweza tokea.
 
Kwa taarifa yako ni kuwa mh Sugu hapa mbeya wala hatumiagi fedha ili tumchague.

Sisi tunachagua utendaji wake wala siyo fedha.
Mwaka 2010 sugu alipita kwa sababu watu walimchoka yule mzee mpesya(Kama sijakosea jina) wa ccm na 2015 ccm ilikuwa imechokwa,2020...?
 
Sugu hatukumchagua ili akaonyeshe DOLE LA KATI bungeni ,,
Ebu nambie amefanya nini sugu mda wote alio kaa madarakani

Basi kamlete huyo mamako sura mbaya uone kama atashinda. labda kama mmejiandaa kuua watu ili kulazimisha ccm ishinde ila fairplay bora atafute kazi nyengine ya kufanya au aombe agombee uspika huko bungeni ashindane nduli
 
basi kamlete huyo mamako sura mbaya uone kama atashinda. labda kama mmejiandaa kuua watu ili kulazimisha ccm ishinde ila fairplay bora atafute kazi nyengine ya kufanya au aombe agombee uspika huko bungeni ashindane nduli
subiri uone
 
Ccm mmekaa madarakani kwa miaka karibu 60 nini mmetufanyia sisi wananchi?
Sugu hatukumchagua ili akaonyeshe DOLE LA KATI bungeni ,,
Ebu nambie amefanya nini sugu mda wote alio kaa madarakani
 
Labda kama wewe ndiye unatawaliwa na mkeo
Kwa nature ya wanaume wa Mbeya acheni tu Dada waongoze, coz hata familia zenu watawala ni wanawake.
 
Back
Top Bottom