nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,731
- 4,271
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halina hata mvuto,jeusiiiHii nimeichota sehemu...
TULIA HATOSHI, NI KIRUSI KINACHOIGAWA CCM MBEYA
Mh. Tulia Ackson kazungukwa na watu wa ovyo. Kwanza ana haraka sana. Kitendo hiki kinawakera Mbeya tofauti na yeye na watu wake wanavyodhani.
Sawa anaweza kuwa mgeni kisiasa. Lakini hawezi kuwa mgeni wa hulka za wana Mbeya. Spidi yake inachefua kuliko kuvutia.
Amepania kubeba bendera ya CCM Mbeya mjini 2020. Lakini harakati zake zinapingana na ukweli halisi. CCM tukichanga karata vibaya 2020 tutasaga meno. Hili halihitaji mnajimu wa nyota.
Anataka kura za watu anaojitenga nao. Magari na ving'ora, misafara na mapikipiki ya nini Mbeya? Watu unaotaka wakupe kura zao hutaki wakukaribie. Unawaogopa wapiga kura wako?
Tulia hatakiwi hata kupandisha vioo vya gari akiwa Mbeya. Siasa ya Mbeya ni ngumu sana kwa sababu watu wanajielewa.
Hata askari anaowatumia hawalipwi posho. Na yeye hawapozi hata na maji ya kunywa. Utasema ni kazi yao kulinda viongozi. Lakini tambua pale anataka kuwawakilisha mpaka hao polisi.
Siasa hufanya kiongozi awe mtumwa wa wapiga kura. Tulia anataka wapiga kura wawe watumwa wake. Ni ngumu kumuuza 2020.
Tunajua anataka Uspika. Lakini Mbeya ya sasa inahitaji uwakilishi wa Mbunge mwenye mashiko. CCM tusimamishe mtu anayeuzika.
La sivyo hatuwezi kupambana na Chadema ya Mbeya yenye Sugu, kwa kumtumia Tulia. Tunajidanganya wana CCM, hilo litakuwa zoezi gumu kuliko lile la 2015.
Mh.Tulia ameigawa CCM. Kuna CCM 'Team Sugu' wa kimya kimya. Anamharibia hata Mh. Rais kwa kujinasibu kuwa kamtuma. Mbeya hawapendi kuburuzwa na hawataki mtu aliyetumwa, au tumesahau ya Bruno Mpangala?
Tulia hana muunganiko (connection) na Mbeya Jiji. Hata nyumba ya kuishi kaanza kujenga hivi sasa ili kuhalalisha achagulike. Tujue kwamba Mbeya sio wajinga. Hawawezi kuacha kumchagua Sugu, kwa sababu ya mgombea anayewaza Uspika. Tutachemka.
Lazima chama kiwe na watu wanaouzika. Wenye mashiko ndani ya Mbeya. Tukiwa vichwa ngumu kwa kushupaza shingo zetu. Sugu atarudi bungeni kwa kura nyingi zaidi kuliko rekodi yake ya 2015.
Ndimi mwana CCM,
Edwin Mwakanyamale,
Forest Mbeya.
Ngoja wamlie tu hela zakeHii nimeichota sehemu...

Ataleta maendeleo gani!?...majimbo ya ccm kama ya songea,Dodoma,songeaa nk ndo yako nyuma kimaendeleo!!Kama mkitaka maendeleo mbeya nendeni na Tulia coz anaushawishi mkubwa kwenye serikali hii ya awamu ya Tano, ila kama no ushabiki basi zichangeni karata deny vintage.
Ushukuriwe sanahuyo labda awe mbunge wa ikulu maisha yake yote ila kwenye sanduku la kura hapiti.
Hatufai kabisaHii nimeichota sehemu...
TULIA HATOSHI, NI KIRUSI KINACHOIGAWA CCM MBEYA
Mh. Tulia Ackson kazungukwa na watu wa ovyo. Kwanza ana haraka sana. Kitendo hiki kinawakera Mbeya tofauti na yeye na watu wake wanavyodhani.
Sawa anaweza kuwa mgeni kisiasa. Lakini hawezi kuwa mgeni wa hulka za wana Mbeya. Spidi yake inachefua kuliko kuvutia.
Amepania kubeba bendera ya CCM Mbeya mjini 2020. Lakini harakati zake zinapingana na ukweli halisi. CCM tukichanga karata vibaya 2020 tutasaga meno. Hili halihitaji mnajimu wa nyota.
Anataka kura za watu anaojitenga nao. Magari na ving'ora, misafara na mapikipiki ya nini Mbeya? Watu unaotaka wakupe kura zao hutaki wakukaribie. Unawaogopa wapiga kura wako?
Tulia hatakiwi hata kupandisha vioo vya gari akiwa Mbeya. Siasa ya Mbeya ni ngumu sana kwa sababu watu wanajielewa.
Hata askari anaowatumia hawalipwi posho. Na yeye hawapozi hata na maji ya kunywa. Utasema ni kazi yao kulinda viongozi. Lakini tambua pale anataka kuwawakilisha mpaka hao polisi.
Siasa hufanya kiongozi awe mtumwa wa wapiga kura. Tulia anataka wapiga kura wawe watumwa wake. Ni ngumu kumuuza 2020.
Tunajua anataka Uspika. Lakini Mbeya ya sasa inahitaji uwakilishi wa Mbunge mwenye mashiko. CCM tusimamishe mtu anayeuzika.
La sivyo hatuwezi kupambana na Chadema ya Mbeya yenye Sugu, kwa kumtumia Tulia. Tunajidanganya wana CCM, hilo litakuwa zoezi gumu kuliko lile la 2015.
Mh.Tulia ameigawa CCM. Kuna CCM 'Team Sugu' wa kimya kimya. Anamharibia hata Mh. Rais kwa kujinasibu kuwa kamtuma. Mbeya hawapendi kuburuzwa na hawataki mtu aliyetumwa, au tumesahau ya Bruno Mpangala?
Tulia hana muunganiko (connection) na Mbeya Jiji. Hata nyumba ya kuishi kaanza kujenga hivi sasa ili kuhalalisha achagulike. Tujue kwamba Mbeya sio wajinga. Hawawezi kuacha kumchagua Sugu, kwa sababu ya mgombea anayewaza Uspika. Tutachemka.
Lazima chama kiwe na watu wanaouzika. Wenye mashiko ndani ya Mbeya. Tukiwa vichwa ngumu kwa kushupaza shingo zetu. Sugu atarudi bungeni kwa kura nyingi zaidi kuliko rekodi yake ya 2015.
Ndimi mwana CCM,
Edwin Mwakanyamale,
Forest Mbeya.
Huyu mama haijui Mbeya vizuri anataka kuaibika bure!! Namshauri walau aende Kigamboni kule anaweza kutoka mlisi.
Muda wa kumkataa umefikayaaan hiki ki betina kimeanzisha group la kina mama wa kujifanya wanamsapoti lakini hao kina mama wamechanhishwa michango balaa pia kinajifanya kuungana na rapha group uyole kwa kuwa kimepewa ofisi pale...ila kiukweli betina nenda busokelo kwenu kwa mbeya mjini umefeli
Njoo ir uone maajabu alioleta msigwaHuo ni upumbavu mtupu, hakuna maendeleo yanayo fanywa eti kwa ushawishi wa mtu fulani. Maendeleo hupangwa na kutekelezwa kwa bajeti. Kinyume cha hapo ni Rushwa na utapeli kwa wajinga. Kwani kama hizo shule zinahitaji ukarabati hazitakarabatiwa mpka huyo Betina awe mbunge? Nimesoma Iyunga na hapo Loleza kwa Mademu zetu napafahamu. Shule hizo zilikuwa zikikarabatiwa tangu wakati ule Mbunge akiwa Polisya Mwaiseje wa NCCR, akaja yule wa CCM nimemsahau koz huwa wanalala tuu bungeni na sasa Sugu.
Maendeleo yanakuja kwa kodi zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo dodoma wazima .mbeya mbunge ni sugu mpaka mwisho wa nyakatiMimi naishi Mbeya mjini hapa . Kwenye ubunge ndampigia kula Dr. Tulia. Kwenye uraisi bado sijamuona wa kumchagua.
Mbeya tusiwe wajinga. Tulia ni Kiongozi sahihi kwa sasa . Hip-hop haiuziki sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi mkubali Sugu Mimi tokea 2010. Ila nilihitaji chama tawala kiwe na adabu tuMnaendeleaje
hapo dodoma wazima .mbeya mbunge ni sugu mpaka mwisho wa nyakati
Kwa siasa za CCM kama Mwakanyamale bado yuko hai basi Mungu apewe sifaHii nimeichota sehemu...
TULIA HATOSHI, NI KIRUSI KINACHOIGAWA CCM MBEYA
Mh. Tulia Ackson kazungukwa na watu wa ovyo. Kwanza ana haraka sana. Kitendo hiki kinawakera Mbeya tofauti na yeye na watu wake wanavyodhani.
Sawa anaweza kuwa mgeni kisiasa. Lakini hawezi kuwa mgeni wa hulka za wana Mbeya. Spidi yake inachefua kuliko kuvutia.
Amepania kubeba bendera ya CCM Mbeya mjini 2020. Lakini harakati zake zinapingana na ukweli halisi. CCM tukichanga karata vibaya 2020 tutasaga meno. Hili halihitaji mnajimu wa nyota.
Anataka kura za watu anaojitenga nao. Magari na ving'ora, misafara na mapikipiki ya nini Mbeya? Watu unaotaka wakupe kura zao hutaki wakukaribie. Unawaogopa wapiga kura wako?
Tulia hatakiwi hata kupandisha vioo vya gari akiwa Mbeya. Siasa ya Mbeya ni ngumu sana kwa sababu watu wanajielewa.
Hata askari anaowatumia hawalipwi posho. Na yeye hawapozi hata na maji ya kunywa. Utasema ni kazi yao kulinda viongozi. Lakini tambua pale anataka kuwawakilisha mpaka hao polisi.
Siasa hufanya kiongozi awe mtumwa wa wapiga kura. Tulia anataka wapiga kura wawe watumwa wake. Ni ngumu kumuuza 2020.
Tunajua anataka Uspika. Lakini Mbeya ya sasa inahitaji uwakilishi wa Mbunge mwenye mashiko. CCM tusimamishe mtu anayeuzika.
La sivyo hatuwezi kupambana na Chadema ya Mbeya yenye Sugu, kwa kumtumia Tulia. Tunajidanganya wana CCM, hilo litakuwa zoezi gumu kuliko lile la 2015.
Mh.Tulia ameigawa CCM. Kuna CCM 'Team Sugu' wa kimya kimya. Anamharibia hata Mh. Rais kwa kujinasibu kuwa kamtuma. Mbeya hawapendi kuburuzwa na hawataki mtu aliyetumwa, au tumesahau ya Bruno Mpangala?
Tulia hana muunganiko (connection) na Mbeya Jiji. Hata nyumba ya kuishi kaanza kujenga hivi sasa ili kuhalalisha achagulike. Tujue kwamba Mbeya sio wajinga. Hawawezi kuacha kumchagua Sugu, kwa sababu ya mgombea anayewaza Uspika. Tutachemka.
Lazima chama kiwe na watu wanaouzika. Wenye mashiko ndani ya Mbeya. Tukiwa vichwa ngumu kwa kushupaza shingo zetu. Sugu atarudi bungeni kwa kura nyingi zaidi kuliko rekodi yake ya 2015.
Ndimi mwana CCM,
Edwin Mwakanyamale,
Forest Mbeya.
sasa hivi kina adabu ?Sijawahi mkubali Sugu Mimi tokea 2010. Ila nilihitaji chama tawala kiwe na adabu tu
Bado akina. Lakini upinzani nako madudu mengi .utawala madudu mengi . Nabaki middlesasa hivi kina adabu ?