Mh. Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi, unashangaa watu wa Mbeya kulala saa mbili usiku? Kwanza, jiji lile lina ubaridi mkali wa hadi nyuzijoto 8°C au 10°C nyakati za usiku, siyo joto la huko unakozurura. Pili, usiku ni wakati wa kupumzika baada ya kazi ngumu ya uzalishaji, na siyo muda wa kuzurura barabarani bila mpango.Ukitaka kumuudhi mzungu, we mwambie kuwa sayansi na teknolojia ni fiction.
Ukitaka kumuudhi muafrika we mwambie tu UKWELI wowote ule.
Hatumkatai Kasema ukweli!
Rais wa TLs Wakili Boniface Mwabukusi amesema Jiji la Mbeya linaonekana tofauti na majiji mengine nchini kutokana na shughuli nyingi za kijamii na kiuchumi kumalizika mapema usiku, kauli ambayo imezua mjadala miongoni mwa wakazi wa jiji hilo na watumiaji wa mitandao ya kijamii.
Akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa kutoka kupitia Mkataba ya Mawio Online TV, Mwabukusi alisema Mbeya ni miongoni mwa maeneo ambayo shughuli nyingi husitishwa mapema kiasi cha kufanya mitaa kuwa mitulivu mapema usiku.
“Mbeya ndiyo sehemu pekee panaitwa jiji lakini watu wote wanalala saa mbili kamili. Ukimkuta mtu anatembea ujue ni mlevi alipotea njia anajitahidi kurudi nyumbani,” alisema Mwabukusi.
Kweli ni Jiji Kwa jina,Kuna vyakula vingi,nyumba nyingi za tope,Kasema ukweli apewe maua yake🌷🌷🌷🌷Kauli yake nyingine yenye utata hii hapa:-View attachment 3646167
Mbeya ni kwetu lakini Bado,vyakula vingi IPO mpakani na Malawi, biashara nyingi,miti ya mbao mingi,madini mengi, nyumba nyingi za Udongo na zimebanana, barabara hovyo,Inashindwa hata na Dodoma kwenye ukame na ombaomba kibao!Sema mwabu!Labda mataahira wenzio mnaopewa bagia na mnagombaniana ndo watakuelewa chizi wewe.
Hizi akili ndogo ndo zipo CCM na tutegemee mabadiliko ya kisera kweli!!?
Akili kama hizi haziwezi kusimama na kumpiga mzee warioba kweli!!?
Hivi tukiziita matako yako tunakuwa tunakosea!!!?
Fooolish one😠😠😠😠😠😠😠
Anataka asifie uongo tuu!Sasa uongo uko wapi hapo?
Uongozi mbovu. hilo ndo suala linalotakiwa litafutiwe ufumbuzi.Mbeya ni kwetu lakini Bado,vyakula vingi IPO mpakani na Malawi, biashara nyingi,miti ya mbao mingi,madini mengi, nyumba nyingi za Udongo na zimebanana, barabara hovyo,Inashindwa hata na Dodoma kwenye ukame na ombaomba kibao!Sema mwabu!
ALisikika kiumbe dhaifu kisa kaambiwa ukweli.Mh. Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi, unashangaa watu wa Mbeya kulala saa mbili usiku? Kwanza, jiji lile lina ubaridi mkali wa hadi nyuzijoto 8°C au 10°C nyakati za usiku, siyo joto la huko unakozurura. Pili, usiku ni wakati wa kupumzika baada ya kazi ngumu ya uzalishaji, na siyo muda wa kuzurura barabarani bila mpango.
Zamani, wakati wa sakata la DP World, tulikuona una akili na unaongea pointi za maana sana. Kumbe ulikua unatafuta kiki tu! Siku hizi umepoteza mwelekeo kabisa na umekuwa mropokaji asiye na sifa, unayeongea maneno yasiyo na tija kama Mwijaku tu. Mbeya inazalisha kwa akili, haishindi kijiweni!