Wana Mbeya, tumkatae Mwabukusi, anatudharau sana

MWABUKUSI ameongea ukweli pasi na unafiki. Tena ni vyema amesema yeye mwenye asili ya Mbeya, kuliko angeongea mtu wa asili ya sehemu/mkoa mwingine maana angeshambuliwa kwa sababu ya kutokuwa mwenyeji wa Mbeya.

Ukweli utatuweka huru kweli kweli.
 
Wapuuzi wakubwa nyie mbeya pamekaa kishamba sana na hata nature ya watu wa mbeya ni ushamba na ujuaji useless kabida, mji hauna plan kabisa ule
 
Ukitaka kumuudhi mzungu, we mwambie kuwa sayansi na teknolojia ni fiction.

Ukitaka kumuudhi muafrika we mwambie tu UKWELI wowote ule.
Sasa unataka watu wa Mbeya wazurule usiku kama mashoga wa Dar?
 
Hatumkatai Kasema ukweli!
Ukweli wa kwamba tutembee usiku?? Hivi unaijuwa baridi ya Mbeya?? Baada ya baridi ya Makete then inakuja ya Mbeya. 2-14 degrees Celsius usiku unaanzaje kutembea usiku??
 
Sema mwabukusi naye kaanza kukosa vya kuongelea unawezaje kuuponda namna hiyo mkoa wako hata kama una mapungufu. Mimi nafikiri wenye kuichangamsha Mbeya ni wazawe wenyewe na wengi wao wamemeishia kuishi Dar na mmojawapo ni yeye Mwabukusi. Sasa kama yeye mwenyewe anaishi dar tena kwa kujenga na sio kupanga unataka nani sasa akaichangamshe Mbeya au unataka nani atembee huo usiku wakati watembeaji wenyewe ndo nyinyi na wote mumeishia dar!?
 
Tujadili hoja badala ya mtoa hoja,je miundombinu ya kiuchumi na kijamii ya jiji la mbeya inakudhi viwango vya kimataifa kuitwa jiji?inawezekana Mwambukusi akasaidia kwa kuisemea mbeya ili mamlaka husika ziongeze uwekezaji na uboreshaji wa miundombinu kuliko mtoa lawama ambaye anasifia na kufanya mamlaka kubweteka
 
Ukipita saa tano unaitiwa mwizi🤣🤣🤣
 
Hiyo sio sababu stockholm hapa , na miji yenye baridi mpaka barafu hawalali mapema kiasi hiko

Hiyo sio excuse
 
Kwani kigezo cha kuwa jiji ni nini?
Uchumi,idadi kubwa ya watu, Mbeya uchumi uko vizuri, nyumba na mpangilio wa mji ndio kipengere, Airport,Isanga, Mwanjelwa (Njilii),Ghana,Uyole,Nzovwe,nk karibu zote Udongo na zimebanana balaa!Huko ni kwetu,ila ukweli Lazima usemwe nalinganisha na Dodoma huku!
 
Ukweli wa kwamba tutembee usiku?? Hivi unaijuwa baridi ya Mbeya?? Baada ya baridi ya Makete then inakuja ya Mbeya. 2-14 degrees Celsius usiku unaanzaje kutembea usiku??
Piga Makoti!
 
Sasa uongo uko wapi hapo?
Huyo ni mpinga maendeleo wa Jiji letu, Mbeya magorofa tunajenga kila kukicha. Mwabukusi hata kibanda cha saloon hajawai fungua hapa Mbeya. Halafu yasemekana huyu ni mzaliwa wa Arusha. Basi rudi nyumbani kwenu Arusha Tanzania ni kubwa hujalazimishwa kuishi Mbeya. Hana hoja za kuishauri serikali ili iboreshe jiji letu na magorofa tutazidi kuyajenga fala tu huyo
 
Ukweli mchungu
Nyie mna kariri na ushamba wenu ,watu wanaenda na trend ya kila sehemu...Dar nimeishi zaidi ya miaka 10 hata kesho niende hakuna hayo maajabu ... Biashara za masaa 24 zimeanza mapema .

Nilikuwa natoka ofisi saa tano mitaa ya azikiwe pale posta ,nakuambia hakuna daladala pale posta mwisho kituoni wala bajaji ,natembea mpaka kisutu yaani natokea mnazi mmoja hakuna biashara wala daladala ..Hizo bajaji moja moja ..Ukikaa pale mnazi hiace ni chache na nyingi zinaishi kariakoo ,tena pale karibu na Shule ya Benjamini mkapa ndiyo zinapark .

We danganya wenzio hiyo dar imeanza biashara masaa 24 juzi hapa tena Makala alikuwa ameshaondoka ,na biashara zenyewe ni karikoo kuliko baki labda wauza chips ..Dar hata umwmabie mtu iko overrated na watu ni wengi biashara zinapigwa kwa shift ,kuna maduka unaenda saa 3 hawajafungua tena pale kariakoo...Sio lazima jiji watu wazunguke usiku kucha ni kukariri maisha.
 
Huijui Mbeya bwege wewe kaa kimya
 
Jamaa yenu anaishi Dar huko ,hajui chochote zaidi ya kupiga domo
 
MWABUKUSI ameongea ukweli pasi na unafiki. Tena ni vyema amesema yeye mwenye asili ya Mbeya, kuliko angeongea mtu wa asili ya sehemu/mkoa mwingine maana angeshambuliwa kwa sababu ya kutokuwa mwenyeji wa Mbeya.

Ukweli utatuweka huru kweli kweli.
Mtu wa Arusha huyo lazakiwa karibu na Mbuguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…