Sindano za sumu
JF-Expert Member
- Oct 2, 2022
- 296
- 738
Mbeya ni kijiji kikubwa chenye vumbi jingiHata Dar es Salaam ina maeneo yenye maisha duni kama ilivyo Mbeya. Siyo kwamba Dar nzima iko kama Masaki na Oysterbay au Upanga.
Kuna maeneo ni ushenzini sana kama Kinondoni shamba, Mwanyamala Kisiwani, Kigogo, Mburahati, Buguruni Kwamnyamani, Vingunguti, Kowalano Kaliagogo etc
Acha ubishi kubali tatizo muanze upya kuijenga mbeya, Kuhusu w GDP hela nyingi inatoka kwenye kilimo, na migodi tena chunya.Mbeya Jiji ina rank namba 5 katika GDP (sijui kama unajuwa maana ya GDP) kwa mujibu wa takwimu za TAMISEMI, utasemaje mzunguko wa fedha ni mdogo??
Mbeya inahujumiwa na CCMMbeya ni kwetu lakini Bado,vyakula vingi IPO mpakani na Malawi, biashara nyingi,miti ya mbao mingi,madini mengi, nyumba nyingi za Udongo na zimebanana, barabara hovyo,Inashindwa hata na Dodoma kwenye ukame na ombaomba kibao!Sema mwabu!
Mji kama mbeya ni wakuachwa tu ubaki vile vile, nani akapate TB na vumbi lileMbeya inahujumiwa na CCM
Mbona Dar ndio mkoa unaoongoza kwa maambukizi ya kifua kikuu?Mji kama mbeya ni wakuachwa tu ubaki vile vile, nani akapate TB na vumbi lile
Kabisa mkuuMbeya inahujumiwa na CCM
Tusifike huko kwenye elimu mkuu😀😀na siwezi kuruhusu tushindane kupitia elimu nisamehe mkuu Mimi elimu yangu darasa la 7 lile la zamani tena huko usukumani mkoa wa simiyu hatukuwahi kulipia ada kwa hiyo Sina cha kudai ada zaidi ya miti tuliyokuwa tunajitolea kuipanda🙏Kwani misingi ya mjadala ni ipi? Au uhuru wa mawazo una maana gani? Unapimaje ubora wa mada? Ubora wa mada unapimwa kwa number of engagements na siyo kwa namna watu walivyoniunga mkono!!
Sijui ndugu ulisoma shule gani, kadai karo zako wakurudishie
Hauko conversant na takwimu. Rudi kwenye post yangu nimeongelea Jiji sikuongelea mkoa. Kimkoa Mbeya ni namba tatu kwenye GDP. Ila kwa Halmashauri Jiji la Mbeya ni namba 5.Acha ubishi kubali tatizo muanze upya kuijenga mbeya, Kuhusu w GDP hela nyingi inatoka kwenye kilimo, na migodi tena chunya.
hapo mjini kwenu hakuna miradi mikubwa ya hela nitajie vitega Uchumi vilivyopo apo Halmshauri ya Mbeya mjini unaovyoona vinachangia pato kubwa zaidi madiwani wenu wanakazi ya kujenga fremu za Kukodisha
Ndiyo tatizo la mbumbumbu kushiriki mijadala inayohitaji akili kubwa.Tusifike huko kwenye elimu mkuu😀😀na siwezi kuruhusu tushindane kupitia elimu nisamehe mkuu Mimi elimu yangu darasa la 7 lile la zamani tena huko usukumani mkoa wa simiyu hatukuwahi kulipia ada kwa hiyo Sina cha kudai ada zaidi ya miti tuliyokuwa tunajitolea kuipanda🙏
Huko kote sipajui mkuu Mimi mgeni kwenye majukwaa ya jf ndo kwanza nimejoin mwez ulopita...sorry bro ila ukweli mbeya ni kijiji kilichotelekezwa na maCCM sio ajabu ni mmoja kati ya waliopanga foleni kula sambusa na vibama vya mbunge wenuNdiyo tatizo la mbumbumbu kushiriki mijadala inayohitaji akili kubwa.
Hamia kule social forums au chitchat au celebrities forums
Kwann nisiipende na ipo Tanzania, Munapenda sifa mussizo nazo hiyo ndio shidaHauko conversant na takwimu. Rudi kwenye post yangu nimeongelea Jiji sikuongelea mkoa. Kimkoa Mbeya ni namba tatu kwenye GDP. Ila kwa Halmashauri Jiji la Mbeya ni namba 5.
Na hii haibadiliki itabakia hivyo hivyo hata kama huipendi Mbeya
Hatujambo sema na wewe unatoka kijiji gani.Wana Kijiji cha mbeya nawasalimu