Wana mmu wengi hawako kwenye ndoa.

mitishamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
697
Reaction score
111
Nimegundua kuwa wana mmu wengi hasa wanawake hawako kwenye ndoa.

Ukiangalia michango yao wengi hulialia na wakati mwingine huwa na hasira sana kiasi kwamba inaonesha kuwa wamekuwa watu wa kuachwa mara kwa mara kinyume na matarajio yao. Muda unavyozidi kwenda ndivyo ndoto zao zinavyozidi kuyoyoma....basi kila mtu wanamwona ni adui kwao. Wamejikatia tamaa.
 
can you mention some of them if you don't mind?
 

Unayoyasema unauhakika nayo?Uchunguzi wako ni wa kisayansi au!Kama ni through comments basi nakupa pole, uchunguzi wako si sahihi!
 
Duh,kwani kuna kigezo cha kuolewa/au kuoa ili uwe mwana JF?
Anyway,that's all about JF na fake IDs.
You don't have to make someone guess your real name,
your gender or your marital status.

Kuna mtu aliniomba password yangu ya sehem flani one day.
nikamtajia "alfaomega",...(don't even thing of cracking it),....akasema "alfa" haiandikwi hivyo
ni "alpha",...sasa what is the use of a password if kila mtu anaweza jua inaanzaje na kuishaje.
(By the way my password is always a key to another password).
 
isipokuwa wewe.
 
je kama wote ni wanaume.maana hakuna unayejua id yake ya kweli
 

Mwana MMU ni mtu wa namna gani?
 


Wamejikatia tamaa ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…