Wana mmu wengi hawako kwenye ndoa.

Wana mmu wengi hawako kwenye ndoa.

Poor you eti ndoa ina maana gani as a human being huwezi uliza swali kama hili ni sana na kuuliza uhai una maana gani pole sana dada keep dreaming and enjoy you single and frustrating live kumbe mtoa mada yupo sahihi
mmmmhhh Mkuu El Toro,unalinganisha uhai na taasisi ya ndoa? Una maana bila ndoa hakuna uhai? wewe hukuwahi kuchagua kuja duniani na wala hukujipangia tarehe gani uingie duniani,ndoa ni hiari unapanga unaamua siku ya harusi.Ndoa is a matter of choice,uhai is a matter of being,mambo mawili tofauti Mkuu!Ukiua mtu mahakama zinakuhukumu kunyongwa na mahakama hizo hizo ndo zinatoa talaka,you see nao ze difference?
 
Pole we, usilolijua tokea hapa na ile ID yako tuliyoizoea unajificha ficha nini kukameruniwa kumekuharibu sana ww
Hizi sasa zaidi ya hasira anyways i am here o console you incase you are damn single and frustrated
 
Inawezekana wengine wanaficha marital status zao.
 
Umri unakwenda huo. Kutumika unatumika lakini unaongeza frequency za kutumika tu. Wooote wanalala mbele....unabaki peke yako.

Mtu mwema ukinipenda, nitakupenda zaidi yako. Mtu mbaya ukinichukia nitakuepuka na shari zako!! Btw, usipuuze hekima aliyokupa Mwenyezi Mungu, itumie sawasawa na mapenzi yake nae atakuepusha na yasiyofaa!!
 
haka kamada najua kamewachoma wengi.
Hakuna aliyechomwa na kitu kwa kuwa maisha si katika ndoa pekee,ila kuna wakati baadhi ya maongezi humu MMU huwa anaboa na km wanadamu lazma wapishane tu,so uliyosema ni mawazo yako tu na si lazma yawe sahihi.
 
Wenye ndoa zao wapo wengi wametulia.Hawatakujibu hapa kwani watakuwa wameona thread yako haina maana zaidi ya kuwadhalilisha wanawake
 
Back
Top Bottom