Wana mmu wengi hawako kwenye ndoa.

kwa MMU iko hapa kwa ajili ya ndoa au ya watu wenye ndoa tu??
 

Hiyo nimeisema kama kitu ambacho nimekigundua. mbona mnakuja juu namna hiyo?
 

umesahau wale waliokata tamaa na ndoa zao, frustrations haziwaishi, wanatamani kutoka waenjoy freedom ya kuwa single.

Amandla.
 
Hili nalo neno tena unakuta katopiki hata kasiko na maana basi utaona wanacomment, wito kwa 2012 going forward lets discuss concrete issues sio kwa kuwa sredi kaanzisha fulani maarufu humu basi nyooote mnachangia hata kama ni upupu, JF ni ya great thinkers let us assume as ones
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…