Wana mmu wengi hawako kwenye ndoa.

mmh utafiti huo unahitaji ndo au hata mahusiano
 
Ndoa ina faida gani hasa ya kutisha mpaka mtu ukiikosa ujikatie na tamaa? Kulala nayo kila siku ama?

Poor you eti ndoa ina maana gani as a human being huwezi uliza swali kama hili ni sana na kuuliza uhai una maana gani pole sana dada keep dreaming and enjoy you single and frustrating live kumbe mtoa mada yupo sahihi
 
Poor you eti ndo ina maana gani as a human being huwezi uliza swali kama hili ni sana na kuuliza uhai una maana gani pole sana dada keep dreaming and enjoy you single and frustrating live kumbe mtoa mada yupo sahihi

Mkuu mi mada zangu huwa ni "realistic", tatizo hawawezi kuukubali ukweli kwa sababu hawajaitoa wao.
 

Kuna kaukweli ndani yake.
Wapo wengi kwenye kundi la kupigwa chini, walio zalishwa janaume likakimbia, vipoozeo n.k
 

The claims are not statistically significant
 
Poor you eti ndoa ina maana gani as a human being huwezi uliza swali kama hili ni sana na kuuliza uhai una maana gani pole sana dada keep dreaming and enjoy you single and frustrating live kumbe mtoa mada yupo sahihi

we crap soma kwanza vizuri ndio uanze kuandika hizi pumba zako sijasema ina maana gani bali nimeuliza faida hasa ya kumfanya mkosaji ajikatie tamaa. Ulivyo mpumbavu eti unasema kuuliza swali hili ni sawa na kuuliza uhai una maana gani. So waliofiwa na waume/wake zao uhai hauna faida kwao ama mpuuzi sana wewe sura kama unataka kufa
 


Wengine single seacher... tunatafuta humuhumu!:A S 465:
 

Acheni jazba jamani.
Jitahidini tu hivyo hivyo.
 
Mademu wanao tokwa na mapovu au kudharau mada hii yamewakuta. mia
 
kwani kuwa memba wa jf na mpenzi wa mmu ni lazima uwe na ndoa?
 
Acheni jazba jamani.
Jitahidini tu hivyo hivyo.

Hahaha mi nakua na jazba nikikosa hela asee na sio hayo makitu mengine. Unajua haya maneno yenu ndio mnasababisha mabinti zetu wanajibebesha mimba ili waolewe eti ni sawa sawa na kukosa uhai wanaacha kuwaza maendeleo wanabakia kuwaza ndoa ambazo waliomo wanakesha baa.
 

wa kwanza huyu hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…