Wana mmu wengi hawako kwenye ndoa.

Ndugu, katika ethics za utafiti kuna vitu viwili kama output, either uelezee chanzo cha tatizo ama utoe suluhisho. You have done neither of those. Ama ulikuwa unafanya situational analysis?
 
Wewe inaonyesha umekosa ile kitu u need a d**ck, get yourself a G...
 
Ndugu, katika ethics za utafiti kuna vitu viwili kama output, either uelezee chanzo cha tatizo ama utoe suluhisho. You have done neither of those. Ama ulikuwa unafanya situational analysis?

yani hapo ndo risechi yenyewe inaendlea.lakn hao wanaofanya risechi nimegundua ni ma-infideletas.
 
Wewe inaonyesha umekosa ile kitu u need a d**ck, get yourself a G...

Pole we, usilolijua tokea hapa na ile ID yako tuliyoizoea unajificha ficha nini kukameruniwa kumekuharibu sana ww
 
Raha ya JF hiyo . . . . . . .
 
Ndugu, katika ethics za utafiti kuna vitu viwili kama output, either uelezee chanzo cha tatizo ama utoe suluhisho. You have done neither of those. Ama ulikuwa unafanya situational analysis?

Punguza sauti basi king'asti. Hata ukiongea taratibu utasikika. Hasira za nini sasa?
 
Kuna kaukweli ndani yake.
Wapo wengi kwenye kundi la kupigwa chini, walio zalishwa janaume likakimbia, vipoozeo n.k

Hii ni kweli tupu mkuu.
Wengi wameingia mitini, na wale wachache waliothubutu kuja hapa angalia povu linavyowatoka.
 
mada yako nzuri ina changamoto ila kabla hujaconclude kumbuka kuwa kuna aina tatu ya kila nafsi
1. Vile alivyo
2. Vile anavyopenda awe na
3. Vile anavyotaka watu wajue alivyo.

Sasa huweziconclude hivi hapa ambapo wengi tunaongea nyuma ya screen zetu. Wapo ambao wako kwenye ndoa but hawana sehemu za kutolea frustrations, madukuduku, opinion na matamanio yao zaidi ya JF. Mwengine anawezaandika jinsi anavyomnyoosha mumewe/mkewe akimkosea ilhali kiukweli ni mpole, mkimya na mnyonge asiyeweza kupaisha hata sauti mbele ya mwenzi wake. Ni hali ambayo anatamani sana angeweza kuwa nayo

Mwingine anaandika yake ambayo yanamfanya aonekane mpole, mkimya mwenye upendo wa dhati kwa mwenzi wake ilhali kumbe alishamkosea sana mwenzake na sasa anajifariji kwa 'ngeli na ngali' tu hapa.

na wengine ni kweli wako hivyo
 
Kwa kuchamba tu,mamamkwa wangu hujambo.
 
Unaona! mmeanza kukubaliana nami.
Nilishasema siku nying kuwa wengi humu si washauri kwa sababu kama hizo ulizozitoa hapo. Watu wakaja juu. Umenisaidia tu kukumbushia.:focus:
 
Unaona! mmeanza kukubaliana nami.
Nilishasema siku nying kuwa wengi humu si washauri kwa sababu kama hizo ulizozitoa hapo. Watu wakaja juu. Umenisaidia tu kukumbushia.:focus:

Mbona umenipoteza kabisa kilaza mie. Haya nimekubaliana na wewe kuhusu nini? Kuwa wengi hawako kwenye ndoa au? Hakuna sehemu ambayo nimekubaliana nawe au kukukatalia, nimetoa 50/50 scenerio ambayo inaweza kunullify theory yako.

Unaposema sio washauri una maanisha nini?
 
Pole we, usilolijua tokea hapa na ile ID yako tuliyoizoea unajificha ficha nini kukameruniwa kumekuharibu sana ww

basi my sisy...basi ..basi...naomba utulie..mwache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…