Wana MMU wenzangu tutumie jukwaa letu vizuri maana Rais huwa anapita huku

Wana MMU wenzangu tutumie jukwaa letu vizuri maana Rais huwa anapita huku

Rais apite jukwaa la siasa inatosha...

Na sisi wengine ukitaka kujenga hoja nzito unaipeleka kule.

Ila kwa habari ya mizagamauno, mapenzi, na urafiki.... haihitaji ujenzi wa hoja nzuri, ndo maana MMU inanoga maana kila kitu kipo pure.... Tukileta protocal za ujenzi wa hoja MMU, tutaharibu
 
Tujenge hoja vizuri maana Rais kasema nae huwa anaperuzi JF.

Sasa hajasema ni jukwaa gani, huenda ni jukwaa hili pendwa.

Tulitumie vizuri, tuweke hoja zenye mashiko.
.......aisee!! basi kuanzia saiz nimeshabadilika naanza kuwa serious.....
 
Àache kujenga nchi aje MMU kudeal na mizagamuano🙄??
 
Raisi naye ni binadamu.wacha tuburudike nae
 
Yaani basi tu uandike uzi.. unajua maana ya MMU na yanayohusika au?!!!!

Watu wengine mnasikitisha..
 
Mwache apite mama yetu kikubwa hatuvunji sheria, mama yangu alikuwa akiingia geto kwangu. Alikuwa anakuta condom mezan na vuchupa vya pombe kali vilivyotumika sa sijui alikuw anasikitika au anacheka ilan alikuwa ananambia nifanye usafi na kupangilia vitu vizuri
 
Back
Top Bottom