Mwalimu wa Kingereza
Member
- Feb 3, 2021
- 24
- 42
.......aisee!! basi kuanzia saiz nimeshabadilika naanza kuwa serious.....Tujenge hoja vizuri maana Rais kasema nae huwa anaperuzi JF.
Sasa hajasema ni jukwaa gani, huenda ni jukwaa hili pendwa.
Tulitumie vizuri, tuweke hoja zenye mashiko.
Wale wa "mbona unanifungia pm mtoto mzuri" mmeuona huu uzi 😂Tujenge hoja vizuri maana Rais kasema nae huwa anaperuzi JF.
Sasa hajasema ni jukwaa gani, huenda ni jukwaa hili pendwa.
Tulitumie vizuri, tuweke hoja zenye mashiko.