Vilabu vikubwa wapi hadithi hizo...angeipaisha Rwanda AFCON 2019...Ngassa kaanza kucheza ligi kuu ana miaka 18.....bora Okwi sio KageriNgasa ndio grandpa ndio maana kiwango kimeisha kabisa, kagere mtoto wa juzi juzi tu ndio maana vilabu vikubwa vinamng'ang'ania unlike Ngasa aliyetoka ndanda na kuja yanga baada ya yanga kufulia na kukosa hela za usajili.
Kwa hiyo Ngasa ana miaka mingapi sasa? Huyo kagere unayemuita mzee uwezo wake unauonaje uwanjani?Vilabu vikubwa wapi hadithi hizo...angeipaisha Rwanda AFCON 2019...Ngassa kaanza kucheza ligi kuu ana miaka 18.....bora Okwi sio Kageri
si kasema mwanaspoti?Habari zisizokuwa na vyanzo halisi ni kuihujumu jamiiforums. Toa chanzo halisi cha habari yako.
Hutakaa usikie mwanaume mwenye hela analalamika wanawake wanapenda hela ila sauti hizo utazisikia kwa wavulana wenye visenti, simba jeuri ya pesa tunayo kwa nini tulalamike mkuu.Hapo kagere anawaandaa kisaiķolojia kamati ya usajili ya mbumbumbu fc ili awapige tena pesa ndefu
Sema MO Dewji jeuri ya pesa anayo na si Simba.Hutakaa usikie mwanaume mwenye hela analalamika wanawake wanapenda hela ila sauti hizo utazisikia kwa wavulana wenye visenti, simba jeuri ya pesa tunayo kwa nini tulalamike mkuu.
Thamani ya klabu ya simba ni billion 40 na ushee hivi ,MO kawekeza billion 20 kwa nini tusiseme tuna hela? Yanga hela alikuwa nayo mtu mmoja ndio maana alivyojitoa tu mkawa matonya kutwa kutusumbua changia yanga changia yanga, ulishawahi kuona mnyama simba akitembeza bakuli?Sema MO Dewji jeuri ya pesa anayo na si Simba.
Unachotakiwa pia ufahamu kwa mtu kama MO mpaka afikie maamuzi ya kuweka 20 billion simba hajakurupuka, ameshafanya feasibility study ya kutosha akaona kuna possibility ya yeye kupata na Simba kuzidi kuwa imara yaani win win situation, kingine unachotakiwa ukifahamu pia ni kuwa MO anamiliki 49% tu ya klabu yetu nyingine ni sie wanachama wa simba hivyo simba haimtegemei MO kujiendesha kwa kila kitu kwani kabla hajaweka fedha zake simba tulikuwa tunajiendeshaje? Ulishawahi kuona tunatembeza bakuli? Nyuma ya simba kuna watu wana akili na uelewa wa namna ya uendeshaji wa klabu kubwa kama simba, zipo brains za kutosha mkuu.Mkuu unaelewa juu ya Uwekezaji ulioko Simba kwa sasa au unafikiri MO Dewji ameweka AC ya Simba billion 20. Ili uelewe juu ya Uwekezaji wa MO Dewji kwa Simba fanya mapitio ya kipindi alipotekwa hali zenu mashabiki na klabu kwa ujumla ilikuwaje? Ndio maana nilikueleza mapema kuwa Uwekezaji wa MO Dewji sio mwarobaini wa Matatizo ya Simba na soka la Tanzania kwa ujumla. Na count my word siku MO Dewji akikuta hiyo Biashara ya Uwekezaji Simba haimlipi atawapiga chini kama aliyofanya Kwa African Lyon na hamtaamini kinachotokea.
Simba ni icon bora hata wazungu wanalilia kuwekeza pale kwa gharama yoyote. Mo ni msomi anajua usimlinganishe na manji.Mkuu unaelewa juu ya Uwekezaji ulioko Simba kwa sasa au unafikiri MO Dewji ameweka AC ya Simba billion 20. Ili uelewe juu ya Uwekezaji wa MO Dewji kwa Simba fanya mapitio ya kipindi alipotekwa hali zenu mashabiki na klabu kwa ujumla ilikuwaje? Ndio maana nilikueleza mapema kuwa Uwekezaji wa MO Dewji sio mwarobaini wa Matatizo ya Simba na soka la Tanzania kwa ujumla. Na count my word siku MO Dewji akikuta hiyo Biashara ya Uwekezaji Simba haimlipi atawapiga chini kama aliyofanya Kwa African Lyon na hamtaamini kinachotokea.
Simba haimtegemei MO kujiendesha?Unachotakiwa pia ufahamu kwa mtu kama MO mpaka afikie maamuzi ya kuweka 20 billion simba hajakurupuka, ameshafanya feasibility study ya kutosha akaona kuna possibility ya yeye kupata na Simba kuzidi kuwa imara yaani win win situation, kingine unachotakiwa ukifahamu pia ni kuwa MO anamiliki 49% tu ya klabu yetu nyingine ni sie wanachama wa simba hivyo simba haimtegemei MO kujiendesha kwa kila kitu kwani kabla hajaweka fedha zake simba tulikuwa tunajiendeshaje? Ulishawahi kuona tunatembeza bakuli? Nyuma ya simba kuna watu wana akili na uelewa wa namna ya uendeshaji wa klabu kubwa kama simba, zipo brains za kutosha mkuu.
Hawa ndala fc wanasahau kuwa MO ni mtoto wa kishua lakini mwenye brain, anajua kila anachokifanya, anaiona fursa kubwa mbeleni kwa yeye kuwekeza simba kipindi hiki, wao waendelee kulumbana na mzee Akilimali kwasababu ndio brain yao wanayoitegemea.Simba ni icon bora hata wazungu wanalilia kuwekeza pale kwa gharama yoyote. Mo ni msomi anajua usimlinganishe na manji.
Kati ya Yanga na Simba, hakuna timu inayojiendesha kwa mapato yake.Kabla MO hajaweka rasmi uwekezaji wake pale simba ilikuwa inajiendeshaje? Uliwahi kuona ikitembeza bakuli kama hao chura wa jangwani?
Kaanza na 18 years sawa na kacheza hiyo ligi kuu kwa muda gani na hadi sasa ana umri gani?Vilabu vikubwa wapi hadithi hizo...angeipaisha Rwanda AFCON 2019...Ngassa kaanza kucheza ligi kuu ana miaka 18.....bora Okwi sio Kageri