Wana muache kuvamia Friji mkitutembelea

Wana muache kuvamia Friji mkitutembelea

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
Huu sasa usela nnya,washkaji wakija homiz mnaanza kuparamia friji kama na kukomba mazagazaga bila hata huruma,mnadelute tu majuice,bites na kichafua chafua mazingira,tuoneane huruma bwana,kila mtu yupo katika utafutaji hakuna Don hapa, mbaya zaidi mkija na mademu zenu ndio mnaacha uchakavu kabisa,mnachanua tu miguu kwenye kochi kama mpo Leba..
Tumechokaaaa
 
[emoji12] [emoji12] hatar sana
 
Kwel mkuu
Acha uchoyo tatizo mijitu ya mbeya michoyo kinoma
 
Vijana bana mie ukiniuliza mala ya mwisho kufungua mlango wa friji la nyumbani kwangu sijui ni lini
Huwa nakutana na vyakula matunda na vinywaji mezani vikiwa vina ubaridi tu wenye idara zao wanayajua hayo ukiuliza mimi utanionea kwakweli
 
th
 
Mpe lift sasa uone miguu atakavyoipandisha kwenye dashboard [emoji23]
 
Acha uchoyo wewe,hao wanakusaidia
kuondoa sumu kwenye friji yako,kama huna uwezo kivile weka
vyakula ambavyo unavimudu kuvibadilisha pindi vikitumika
hayo mazagazaga yakikaa sana kwa ajili ya mapambo
yanaexpirena siku ukiyanywa unapata magonjwa
 
Back
Top Bottom