Wana muache kuvamia Friji mkitutembelea

Acha uchoyo wewe,hao wanakusaidia
kuondoa sumu kwenye friji yako,kama huna uwezo kivile weka
vyakula ambavyo unavimudu kuvibadilisha pindi vikitumika
hayo mazagazaga yakikaa sana kwa ajili ya mapambo
yanaexpirena siku ukiyanywa unapata magonjwa
Wacha ushamba wewe,wengine pesa zetu tunapopata tunawekeza vyakula ndani, sasa sio wewe na mwenzio mje tu kienyeji kukwangua friji,kistaarabu chukua kinywaji kimoja au tunda basi tulia,lakini sio ku Pick kama mpo min market
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndio maana jokofu lina funguo. Haikuwa bahati mbaya na funguo siyo pambo. Just lock your fridge, no more stress!
 
Ndio maana jokofu lina funguo. Haikuwa bahati mbaya na funguo siyo pambo. Just lock your fridge, no more stress!
Wacha kukariri mkuu, sio kila jokofu lina funguo
 
Ndio maana jokofu lina funguo. Haikuwa bahati mbaya na funguo siyo pambo. Just lock your fridge, no more stress!
Mkuu umenifanya niinuke nikakague jokofu langu, halina funguo!
 
Unazingua mwanaume unatakiwa umface direct unayempa ujumbe nansio kuja kuandika vijembe umu JF. Man up
 
Na wewe acha uchoyo kwani wakila kuna nini??

Natamani hao rafiki zako waendelee kula hivyo hivyo tena waongeze zaidi
 
Una Marafiki wa aina gani?

Kuna usemi wa Wahenga "nionyeshe rafiki zako nikwambie ulivyo"
 
Na wewe acha uchoyo kwani wakila kuna nini??

Natamani hao rafiki zako waendelee kula hivyo hivyo tena waongeze zaidi
Haha tulia we mwana mama,hali ngumu sio kuparamia mafriji,wa naweza jisevia kiasi na Si kwa pupa
Hawakufuata vyakula
 
Sio uchoyo, jaribu kugeuza upande wa pili wa shilingi, imagine ndo ww unafanyiwa hivyo ungekaa kimya? Tuwe wastaarabu kidogo tufikapo kwenye nyumba za watu bhana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…