wana ndoa au wenye uzoefu

wana ndoa au wenye uzoefu

Love recipe is far more than sexual intercourse!!!! Kuna kitabu kimoja cha mwanamama wa kimarekani ambaye ni Mariage-Guidance Counsellor...ambacho kinaelezea kwanini ndoa nyingi zinavunjika katika early stages...Mojawapo ya sababu alizotaja ni kuwa watu huingia katika ndoa kwa factor ambazo zipo kingono zaidi(spouses wengi walivutika kuingia katika ndoa kwa sababu ya u-handsome/u-beautiful wa mwenzi wake, au pengine mwenzi wake anampa mavituzi kiutamu sana). Baada ya muda fulani mariage bond inaanza kuwa weak kwasababu other mariage factors zinaanza ku-create pressure on mariage bond.Mfano ni factor kama uwezo wa kumudu maisha ya kila siku kifedha na kijamii. Chukulia mfano wewe na mwenza wako mpo katika mapenzi mazito ajabu...alafu baada ya muda mnaletewa invoice kibao za vitu kama house rent; electricity/water/other utilities bills; medical bills; school fees; general life running expenses nazo zinadai. Bila shaka mapenzi mazito hayatatosha kutuliza psychological stress zinazotokana na ma-bill hayo. Mara nyingi kinachotokea baada ya hapo ni kumtafuta mchawi.... mara oohh tulioana tungali wadogo.... mara oohh nilikosea sana kuoa/kuolewa na mwenza asiesoma....mara ooohhh nyie kwenu ni mlango wa nane (mufilisi) ndio maana siku hizi sipati hela.....mwisho maugomvi mengine huchipuka!!!! and then talaka hatimaye

Kwahiyo mdogo wangu tulia tafuta mwenza wa maisha mwenye vigezo vyote (hata kama sio 100%,lakini at least akidhi vigezo vingi vya msingi sio utaalamu wa kudinyana tu).... Mwenyewe utajikuta maisha utayaona matamu sana wala hutatishika.....Sawaeeee!!!!!
 
hata mie nilikuwa naskia tuu ..kama wewe ila nilivyoingia nikagundua sio kweli hayo usemayo ila haya yafuatayo ndiyo kweli kwa karibia 99% ya ndoa zetu waafrika....
1- ni marufuku kulala na nguo za ndani except siku wife yupo period
2- mnapoona automatikali mnakuwa siku za mwanzo mnafanya kila siku
3-kila nyumba nyuma ya mlango wa kuingilia masterbedroom kunakuwa na hanger ya nguo... uswazi kwetu kun akuwa na misumari imegongelewa nyuma ya mlango kama mi-3 hivi kwa ajili ya "kukabidhi nguo zako zote then unaingia kulala"
4-mara nyingi kiana mama ndio wanakuwa wa-kiendekeza ku-duu mara-kwa-mara kuliko wanaume except wanaume wa kipemba
5-mara nyingi wanaume kwa asilimia 99 huwa ndio wa kwanza kutoka nje ya ndoa zao

hope i gave u the "TRUTH U R NOT READY FOR"...... ohhh marriage ..its a dirty job...but somebody gotta do it.
 
Kiukweli miezi ya kwanza inaweza kuwa hata kutwa mara tatu baadae ikawa mara moja kwa siku na baada ya mwaka tmara tatu kwa wiki,na baada ya miaka inaweza fika mara moja kwa wiki.Kwa lugha nyingine miezi ya kwanza utaona kasoro zote za dari au kuuta ya juu.

wewe ni kifo cha mende tuu... itakuchosha au utahisi unasulubiwa
 
hata mie nilikuwa naskia tuu ..kama wewe ila nilivyoingia nikagundua sio kweli hayo usemayo ila haya yafuatayo ndiyo kweli kwa karibia 99% ya ndoa zetu waafrika....
1- ni marufuku kulala na nguo za ndani except siku wife yupo period
2- mnapoona automatikali mnakuwa siku za mwanzo mnafanya kila siku
3-kila nyumba nyuma ya mlango wa kuingilia masterbedroom kunakuwa na hanger ya nguo... uswazi kwetu kun akuwa na misumari imegongelewa nyuma ya mlango kama mi-3 hivi kwa ajili ya "kukabidhi nguo zako zote then unaingia kulala"
4-mara nyingi kiana mama ndio wanakuwa wa-kiendekeza ku-duu mara-kwa-mara kuliko wanaume except wanaume wa kipemba
5-mara nyingi wanaume kwa asilimia 99 huwa ndio wa kwanza kutoka nje ya ndoa zao

hope i gave u the "TRUTH U R NOT READY FOR"...... ohhh marriage ..its a dirty job...but somebody gotta do it.

i see ..
 
Childish, AND bORING!

Unasikia kwa nani?

Unataka kuanzisha familia yako au ile ya KUSIKIA KWA WATU?

Na ijulikane tangu sasa kuwa Familia inayoingia kwenye ndoa ni MPYA, na ina uwezowa kutunga mambo yake mapya kabisa bila kuiga kwa mtu!..

Wala usihangaike kutueleza kama utabandika ratiba au any crap of the type, we fanya kulekule kunako chumba mmalize huko!

Kama ni mumeo wa ndoana unampenda, haifai kuja kuzungumzia hapa ratiba uliyobandika, wala utakachofanya,..maana wazoefu wa taasisi tunakuona kama teenager, and you just have wishes and dreams that will never come true!'

Kwa ushauri zaidi mtafute member mmoja anaitwa MWANAJAMII'ONE akusaidie!

Thanks PJ,

Unajua kuna watu kwa kusoma certain thread wanadhani kwamba they can just say whatever fantasy they wish... wanashindwa kuelewa hata kwenye zile thread zetu kuna elimu zaidi ya utani but you ahve to read between the lines and maturity is key

Golder inabidi amkonsalt MJ1, WOS na Mbu wamsaidie la sivyo atachakachua tu
 
kwani we hupendi raha.

Remmy mdogo wangu,

Nadhani huyu Golder ana imani potofu (myths) nyingi kuhusu ndoa.....ni kati ya wale wanaodhani ndoa ni mateso....na huenda pengine hajapatapo wa kumpa/mwonyesha walau kiduchu maisha ya kulala na mwanaume hadi asubuhi yanavoweza kuwa matamu kama nyote mkiyapatia.

Golder na wengine wa namna yake wanadhani kufanya tendo tukufu la kukutanisha bailojia bado ni DHAMBI na kwa hivyo ile FACT kwamba mtakuwa mnafanya kadiri mnavojisikia bado haiingii akilini....

Cah kufanya hapo ni kwamba anatakiwa apate mtu wa kumbadilisha mind set yake ili atakapokuwa tayari kuingia huko, basi awe na a positive thinking kuhusu ndoa.....
 
Remmy mdogo wangu,

Nadhani huyu Golder ana imani potofu (myths) nyingi kuhusu ndoa.....ni kati ya wale wanaodhani ndoa ni mateso....na huenda pengine hajapatapo wa kumpa/mwonyesha walau kiduchu maisha ya kulala na mwanaume hadi asubuhi yanavoweza kuwa matamu kama nyote mkiyapatia.

Golder na wengine wa namna yake wanadhani kufanya tendo tukufu la kukutanisha bailojia bado ni DHAMBI na kwa hivyo ile FACT kwamba mtakuwa mnafanya kadiri mnavojisikia bado haiingii akilini....

Cah kufanya hapo ni kwamba anatakiwa apate mtu wa kumbadilisha mind set yake ili atakapokuwa tayari kuingia huko, basi awe na a positive thinking kuhusu ndoa.
....

Halafu alivyo na bahati watu wenye mauzoefu katika ndoa ndio tunamfaa zaidi kwa hili somo! Hebu malizia kabisa hapo hommie!:llama::llama::llama:
 
Ukishaingia ndoani sheria no;1ni kulala bila kuvaa nguo ya kwanza kuvaliva oh soryy namaniisha kofuli,2;utambue kwamba huko kwa mumeo hukwenda kuangalia tv au kufagia uwanja jua umekwenda kwa kazi 1 tu,kungonoliziana(coitus),HIVYO BASI HUTAKIWI KUSEMA NO UNTIL MMOJA WENU HAYUPO.:decision:
 
Halafu alivyo na bahati watu wenye mauzoefu katika ndoa ndio tunamfaa zaidi kwa hili somo! Hebu malizia kabisa hapo hommie!:llama::llama::llama:
comrade,

huyo punda nikimuona hapo chini nahisi kama malaris sugu kaingia hili jukwaa la waungwana vile...
 
Back
Top Bottom