Wana-Palestina wanapendaga kujifariji humu ni nyuzi za kuonesha kuwa wana nafuu richa ya kuchakazwa na Israel.

Lengo ni kufuta itikadi uchwala yenu hii

Tunataka mkale mabikra 72 mapemaaaa
Uchwara sio uchwala

Kwa hio yale Makanisa yaliyokuwa yakilipuliwa na makaburi ya Wakristo ambayo yapo toka Enzi za Yesu na wao walikua wa natafuta mabikira?

Ni mpuuzi pekee mwenye fikra zako
 
ukijua tambua kuwa hapa duniani huwezi kuishi miaka 100,huwezi kufurahia watu kuuana.

utaishi kwa amani na upendo kwa watu wote.
 
For now, Israel has emerged victorious. Ila hata Ottoman empire crushed down. Israel, lini ataangukia pua, sio mimi wa kusema...muda utaamua
 
Hamas walivoivamia ISRAIL nilisikia TAKBIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIR!!! kichapo kilipoanza kwenda kwao nikasikia MAKAFIR wanaionea PALESTINE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…