Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tehe tehe tehe ...!!!Mliopita sengerema sec hebu tukumbushane mawili matatu.
Tehe tehe tehe ...!!!
Mkuu Konzogwe umenikumbusha mbali sana! Wengine tulikuwa huko miaka ya '80s na CHAKA likuwepo na wakati huo bwaloni paliitwa MAPUTO.
'MAbuga' wa Chemistry? na Elifuraha tulizoea kumwita 'BALBU'. Mr. Gambo na Ki-english chake?
Wanaoifahamu chaka zaidi ni wale waliopita pale o-level,Namkumbuka sister kutoka indonesia aliyekuwa akitufundisha advanced maths,nilisikia alihamia Tambaza.Namkumbuka Manoni mwalimu wa chemistry,sasa ni miaka 11 tangu nimalize six pale.
Huyu mabuga aliingia pale mwaka 1986 kutokea Old Moshi, suruali zake zote suruali zilizoshonwa kwa staile ya miaka ya '70 enzi hizo ikiitwa 'bugaluu' - inabana sana matakoni na pana sana miguuni, basi wanafunzi wakampa jina la 'mabuga' alikuwa anavaa 'raizoni' vilevile.heshima yako mkuu kakalende,
naona ulikuwepo sesesco zamani sana sijui unafahamu hilo jina buga lilitokana na nini?maana wengine tulilikuta na hatukujua maana yake japo ilikuwa hatari sana kama ukikamatwa na mwenye jina ukijaribu kulitumia.
wakuu mnamkumbuka sister laura!!du long time nasikia alijitoa duniani!!
singapole ilichafuka 97 washikaji tukigomea ugali wa mwita!!hivi huyo mwita yuko wapi?hivi aliendelea kitaaluma kweli yule jamaa!!manake alikuwa ana mind zaidi jiko kiliko shule!
Huyu mabuga aliingia pale mwaka 1986 kutokea Old Moshi, suruali zake zote suruali zilizoshonwa kwa staile ya miaka ya '70 enzi hizo ikiitwa 'bugaluu' - inabana sana matakoni na pana sana miguuni, basi wanafunzi wakampa jina la 'mabuga' alikuwa anavaa 'raizoni' vilevile.
Alipewa darasa la Chemistry form 4 ya 1987 na mwaka huo walivunja rekodi ya kufaulu. Tangia wakati huo, Mabuga akawa mtu muhimu sana SESESCO na kukabidhiwa ukuu wa idara.