Wana Simba acheni uongo

changaule

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
6,039
Reaction score
10,151
Kuna watu mbali mbali wanaosambaza uongo kwa kuweka mlinganisho wa mechi nne msimu uliopita dhidi ya mechi nne za msimu huu kisha akahitimisha kuwa Simba imeimarika tofauti na msimu uliopita.

Wanaweka kumbukumbu mechi nne za msimu uliopita ni
1) Ihefu vs Simba: Simba win
2) mtibwa vs Simba: draw
3) prisons vs Simba: Simba lost
4) Simba vs ruvu: Simba lost
Jumla ya alama ni nne

Hivyo wanaona Simba imeimarika kwa msimu huu kuwa na alama nane, wakati msimu uliopita wakiwa na alama nne tu kwa mechi nne.

Uhalisia hauko hivyo, Simba hakukutana na prison wala Ruvu katika mizinguko minne ya kwanza bali alikutana na prisons mzunguko wa sita na ruvu katika mzunguko wa saba. Mechi za Simba zilikuwa hivi:

Ihefu vs Simba. Simba win 2:1
Mtibwa Simba. draw
Simba vs Biashara. Simba win 4 goals
Simba vs gwambina. Simba win 3 goals
Jkt Tanzania vs Simba. Simba win 4 goals
Prison vs Simba. Simba lost
Simba vs ruvu. Simba lost

Hivyo basi katika mechi nne za awali kwenye msimu uliopita Simba hakuwa na point nne bali alikuwa na point 10.

ze-dudu pamoja na Chaos Master na wengineo msijidanganye kuwa Simba imeimarika tofauti na msimu uliopita kwa kulinganisha mechi nne za awali.
 
BIG NO!!!!

WANASIMBA TUMEWEKA ROUND NZIMA YA KWANZA HII HAPA, ROUND YA PILI TUKAPINDUA MEZA SO TULIENI🙂🙂🙂


TUNAKUJA, TUTAWAPUMULIA MGONGONI SO LEGEZA KIUNO ACHA MAKASIRIKO😎😎😎😎
 
Upepo ushatulia tunamuwaza namungo tu hapa
[emoji16]kwa kujipa matumaini hamjambo[emoji1787],kesho popcorn mapema kuliangalia kubwa jinga KOLO likifa 4-2 kwa Mkapa...msimu huu itoshe tu kusema asanteni[emoji120] kwa kushiriki.
 
Leo Masau Bwire anakula mpapaso wa 4-0

Kesho Namungo anamnyandua kubwa jinga KOLO 4-2,ili waendelee kuwa blinded kwa kuendelea kufananisha misimu iliyopita.

Hivi msimu huu wameimarika wapi hasa,kwamba ndo watafika mpaka nusu fainali ya CUF[emoji16][emoji1787]???
 
Mambo yanabadilika haraka sana, muda kama huu msimu uliopita Simba alikuwa anapiga watu nne nne sasa kushinda ni apewe penalty au timu pinzani wacheze pungufu, alikuwa club bingwa Afrika ila sasa yupo viti maalum na alikuwa na kale kamsemo ati, kwa Mkapa mtu hatoki, sasa wahuni wanamfuata huko huko na kumbandua.
 
Simba wanajifariji ila mwaka huu hata karia anajua hawana chao
 
Hizo tetesi tu, hata hivyo ikumbukwe kuwa Mo hatochukua kocha wa kuwalipa gharama kubwa. Angekuwa ni mtu wa hivyo basi tungeona akinyang'anyana wachezaji na akina Al Ahly, Hororya, wydad Casablanca, n.k ila tunamjua ni mwekezaji mbahili.
Horoya imenyang'anyana mchezaji na Al Ahly lini mkuu ?

Horoya ni selling club kama ilivyo Yanga, Gor Mahia, Namungo, Azam na Ruvu shooting.

Kwanza wachezaji wa Horoya asilimia 80 ni raia wa Guinea Conakry.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…