changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Kuna watu mbali mbali wanaosambaza uongo kwa kuweka mlinganisho wa mechi nne msimu uliopita dhidi ya mechi nne za msimu huu kisha akahitimisha kuwa Simba imeimarika tofauti na msimu uliopita.
Wanaweka kumbukumbu mechi nne za msimu uliopita ni
1) Ihefu vs Simba: Simba win
2) mtibwa vs Simba: draw
3) prisons vs Simba: Simba lost
4) Simba vs ruvu: Simba lost
Jumla ya alama ni nne
Hivyo wanaona Simba imeimarika kwa msimu huu kuwa na alama nane, wakati msimu uliopita wakiwa na alama nne tu kwa mechi nne.
Uhalisia hauko hivyo, Simba hakukutana na prison wala Ruvu katika mizinguko minne ya kwanza bali alikutana na prisons mzunguko wa sita na ruvu katika mzunguko wa saba. Mechi za Simba zilikuwa hivi:
Ihefu vs Simba. Simba win 2:1
Mtibwa Simba. draw
Simba vs Biashara. Simba win 4 goals
Simba vs gwambina. Simba win 3 goals
Jkt Tanzania vs Simba. Simba win 4 goals
Prison vs Simba. Simba lost
Simba vs ruvu. Simba lost
Hivyo basi katika mechi nne za awali kwenye msimu uliopita Simba hakuwa na point nne bali alikuwa na point 10.
ze-dudu pamoja na Chaos Master na wengineo msijidanganye kuwa Simba imeimarika tofauti na msimu uliopita kwa kulinganisha mechi nne za awali.