Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Kwa namna kundi letu lilivyo inahitajika nguvu ya ziada aiseeh, kutoboa hapa.
Kundi letu ni kama ifuatavyo:
Asec 4 pts
Galax 4 pts
Simba 2 pts
Wydad 0 pts
Imebakia jumla ya michezo minne ili kundi hili litamatike. Tukiangalia kwa jicho la kifutboli tunaona kabisa hao jamaa wawili hapo juu wana nafasi kubwa ya kusonga mbele kama watachanga karata zao vizuri.
Asec kabakiza mechi mbili nyumbani dhidi yetu na galax hapa akipata point sita huyoo anaenda, galax naye pia.
Simba tuna mechi mbili home tukishinda hizo kisha tukapoteza mbili za ugenini shughuli yetu itakuwa imeishia hapo 😥😥
Tunahitaji kushinda japo mchezo mmoja away kisha kushinda zote za nyumbani ili tujihakikishie kusonga mbele. Kazi ipo hapa kubwa sana, kwa timu tuliyo nayo.