Makundi ya Simba na lile la Yanga yote ni makundi Simple kutoboa, na wala sio hesabu kali na za kuombeana dua wala nini.
Kundi la Simba kwa namna yoyote ile, ASEC atashinda game 1 vs GALAXY na moja ni Sare, Simba atafute sare na ashinde ya home vs Wydad na kundi litakuwa hivi.
ASEC MIMOSAS 8
SIMBA SC 6
JWANENG 5
WYDAD 1
Game ya 5 Simba atakuwa ugenini vs ASEC wakati WYDAD atakuwa ugenini Vs JWANENG
Matokeo yatakuwa WYDAD atashinda hiyo game, huku Simba akipata Sare na kundi litakuwa hivi na hadi game ya 5 Asec itakuwa imefuzu kwenye hili kundi.
ASEC MIMOSA 9 (AMEFUZU)
SIMBA SC 7
JWANENG 5
WYDAD 4
Gama za Mwisho zitakuwa SIMBA vs JWANENG hapo Taifa na WYDAD vs ASEC pale Morocco
Matokeo yatakuwa walioko home watashinda wote na msimamo wa Mwisho wa kundi utakuwa hivi.
SIMBA SC 10 (AMEFUZU)
ASEC 9 (AMEFUZU)
WYDAD 7
JWANENG 5
Kwenye kundi la Yanga nako ni Jepesi zaidi.
Game day 3 itakuwa MEDEAMA VS YANGA, GHANA na AL AHLY VS BELOUIZDAD pale CAIRO then watarudiana baada ya wiki, matokeo kwenye hizo game AL AHLY atapata Point 4 na Yanga akipata 6
Kundi litakuwa hivi
AL AHLY 8
YANGA 7
CR BELOUIZDADA 5
MEDEAMA 3
Game day 5 Yanga atakuwa home Vs CR Belouizdad huku Medeama akiwa home vs Al Ahly na hizo game Yanga atashinda huku Medeama na Al Ahly wakitoka Sare na msimamo utasomeka hivi
YANGA 10 (AMEFUZU)
AL AHLY 9 (AMEFUZU)
CR BELOUIZDAD 5
MEDEAMA 4
Game za mwisho Yanga atafungwa na Al Ahly na Medeama akifungwa na CR Belouizdad na kundi litakuwa hivi
AL AHLY 12
YANGA 10
BELOUIZDAD 8
MEDEAMA 4