Waachane na utaratibu huu, waendelee na ile ya kupuliza madawa kwenye vyumba.Nimeona wachambuzi ambao mara nyingi wanaitakia Simba mabaya,wakihamasisha watazamaji na mashabiki wa Simba waingie na vitochi.
Ninaamini kwamba kuna fitna za nje ya uwanja.Lakini katu msije mkaingia katika mtego huu wa kipuuzi kisa eti kuweka record.
Simba imekuwa ikishinda uwanja wa nyumbani bila kuwasha vitochi.Hali hii msidhani inavumilika tu.
B
Mnaweza kuwa timu ya kwanza kuadbibiwa kwa kufanya vitu hivyo na kisha muwape maneno wapinzani wenu kabwili fc.
Hawa waandishi wanakula mlumgura kutoka kabwli fc Simba ishinde isishinde,wamejiandaa kuisema vibaya tu.
HIP HOP NI MAISHANimeona wachambuzi ambao mara nyingi wanaitakia Simba mabaya,wakihamasisha watazamaji na mashabiki wa Simba waingie na vitochi.
Ninaamini kwamba kuna fitna za nje ya uwanja.Lakini katu msije mkaingia katika mtego huu wa kipuuzi kisa eti kuweka record.
Simba imekuwa ikishinda uwanja wa nyumbani bila kuwasha vitochi.Hali hii msidhani inavumilika tu.
B
Mnaweza kuwa timu ya kwanza kuadbibiwa kwa kufanya vitu hivyo na kisha muwape maneno wapinzani wenu kabwili fc.
Hawa waandishi wanakula mlumgura kutoka kabwli fc Simba ishinde isishinde,wamejiandaa kuisema vibaya tu.
Huyo shaffi anachambua nini!!Hivi Tanzania tuna wachambuzi mahiri wa mpira zaidi ya Shafii Dauda?
Simba wa mchongo ni timu ya mchongoNimeona wachambuzi ambao mara nyingi wanaitakia Simba mabaya,wakihamasisha watazamaji na mashabiki wa Simba waingie na vitochi.
Ninaamini kwamba kuna fitna za nje ya uwanja.Lakini katu msije mkaingia katika mtego huu wa kipuuzi kisa eti kuweka record.
Simba imekuwa ikishinda uwanja wa nyumbani bila kuwasha vitochi.Hali hii msidhani inavumilika tu.
B
Mnaweza kuwa timu ya kwanza kuadbibiwa kwa kufanya vitu hivyo na kisha muwape maneno wapinzani wenu kabwili fc.
Hawa waandishi wanakula mlumgura kutoka kabwli fc Simba ishinde isishinde,wamejiandaa kuisema vibaya tu.
Kama ile iliyobinuliwa nyuma na mbele na Rivers utd [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Simba wa mchongo ni timu ya mchongoView attachment 2172016
Jamaa ana akili sana na anajuwa akiongeacho, sijapata msikia mtu yeyote anayejuwa kuchambua mpira ama kuandika habari murua za mpira hapa Tanzania. Waliobaki ni kama vile wanaigana, huyu akisema hivi basi na mwenzake baadaye ama kesho yake anakuja sema yale yale, kwa bongo hii HAKUNA zaidi ya Shafii Dauda. Kila mtangazaji ama mchambuzi anajifanya katuni kama Steve Nyerere.Huyo shaffi anachambua nini!!
Hayo ni MAPENZI yako na hayawezi kuwa uhalisia!!Jamaa ana akili sana na anajuwa akiongeacho, sijapata msikia mtu yeyote anayejuwa kuchambua mpira ama kuandika habari murua za mpira hapa Tanzania. Waliobaki ni kama vile wanaigana, huyu akisema hivi basi na mwenzake baadaye ama kesho yake anakuja sema yale yale, kwa bongo hii HAKUNA zaidi ya Shafii Dauda. Kila mtangazaji ama mchambuzi anajifanya katuni kama Steve Nyerere.
Sawa ila ukweli ndiyo huo. Wachambuzi wengi wa hapa Bongo hawana lolote, kila mmoja anaiga mwenzake.Hayo ni MAPENZI yako na hayawezi kuwa uhalisia!!