redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Kuna video inayo tembea mitandaoni ikimuonyesha msemaji wa Simba akihojiwa na wanahabari.
Akiwa anajibu maswali juu ya malalamiko katika michezo iliyopita ya Simba dhidi ya Azam na Dodoma JiJi juu ya uamuzi mbovu wa marefa uliopelekea wao Simba kunufaika alisema
Pale Tff Kuna Sanduku la maoni kwaiyo wenye malalamiko juu ya maamuzi yasiyo ridhisha wapeleke kwenye ilo Sanduku.
Mimi nawakumbusha kwakua baada ya mechi ya Simba na Yanga yameibuka malalamiko kwa Baadhi ya Wana Simba dhidi ya waamuzi.
Ni vizuri wakafuata ushauri wa Kiongozi wao ndugu Ahmed Ally kupeleka malalamiko pale Tff katika Sanduku la maoni.