Sawaaaaa...umepewa mdomo mimi ni naniii nikupingeee...tutakutana tena bado ligi inaendelea...sasa ni hivi mtake msitake machinjio ni palepale kwa mkapa!,tunaua tunazika hapohapo hatusafirishi maana na sanda mmeshajivika tayari!.. tutahakikisha yule spider man wenu anakua nyumbu man!..π
mtani hivi sasa huniwezi hiyo dabi nyengine utaweka mpira kwapani huku ukilia..πSawaaaaa...umepewa mdomo mimi ni naniii nikupingeee...tutakutana tena bado ligi inaendelea...
Msyyuu...yani juzi asingejifunga mngeambulia patupu...mtani hivi sasa huniwezi hiyo dabi nyengine utaweka mpira kwapani huku ukilia..π
tulijitahidi kitokuwafunga lkn uzalendo ukawashinda wenyewe mkaamua mjipachike!, achana na yajuzi linalokuja utalia nakusaga mapengo najua sasahivi hauna meno! so ni mwendo wa nyamnyam tu..πMsyyuu...yani juzi asingejifunga mngeambulia patupu...
πππnacheka kwa dharauuuu...tulijitahidi kitokuwafunga lkn uzalendo ukawashinda wenyewe mkaamua mjipachike!, achana na yajuzi linalokuja utalia nakusaga mapengo najua sasahivi hauna meno! so ni mwendo wa nyamnyam tu..π
leo najisikia kukutambia mpk ulie yanga bingwa yanga ni lidude likuubwa linapiga,linaua halafu linazika!πππnacheka kwa dharauuuu...
Kenzy kenyz nakuita mara mbili...nakusihi punguza mdomo mtani wangu utaumbuka...
Huyu huyu chura wa jangwani..mwenye kubebwa juzi...subirini maji mtaita mmaa...leo najisikia kukutambia mpk ulie yanga bingwa yanga ni lidude likuubwa linapiga,linaua halafu linazika!
nyumbu fc,nyau fc huna chakuniambiaHuyu huyu chura wa jangwani..mwenye kubebwa juzi...subirini maji mtaita mmaa...
Haya mwiko nyuma fc...uto fc..kandambili fc...gongowazi...nyumbu fc,nyau fc huna chakuniambia