Wana Simba njooni hapa tumkumbushe mapema Vunjabei

Hivi unajua gharama za Jersey og au izo za 35 ndio unajua ni og
Kweli humu makapuku ni wengi, sitaki kuamini 200K ndio imekuwa hoja humu.

Kawahiyo ukiachana na swala la jersey hapo ulipo hauna uwezo wa kutumia 200K kwa matumizi yako binafsi?

Seriously, 200K ni kitu cha kudhania mtu hana tena usiyemjua? [emoji23][emoji23][emoji23]

Hata kama wewe huna, sio mbaya lakini haina maana kuwa wote hatuwezi kutoa hiyo 200K, NI WEWE PEKEYAKO.
 
kwahy unataka kusema kuwa watu M60 TZ hakuna mwenye uwezo wa kununua jezi kwa laki 2? me nilidhani bilion huko hebu punguza dharau kama huna ni huna wewe.
Umewahi kumiliki biashara yako mwenyewe na kuindesha?
 
Umwambie na Boss Mo kutujazia mabango kwenye jezi full stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…