Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kweli humu makapuku ni wengi, sitaki kuamini 200K ndio imekuwa hoja humu.Hivi unajua gharama za Jersey og au izo za 35 ndio unajua ni og
Kawahiyo ukiachana na swala la jersey hapo ulipo hauna uwezo wa kutumia 200K kwa matumizi yako binafsi?
Seriously, 200K ni kitu cha kudhania mtu hana tena usiyemjua? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kama wewe huna, sio mbaya lakini haina maana kuwa wote hatuwezi kutoa hiyo 200K, NI WEWE PEKEYAKO.