Wana Simba SC hali si nzuri kwa Kesho ila Babu yangu yule wa Pemba Zanzibar kaniambia hili lifanyike haraka ili Nkana FC ' Afe ' kwa Mchina

Wana Simba SC hali si nzuri kwa Kesho ila Babu yangu yule wa Pemba Zanzibar kaniambia hili lifanyike haraka ili Nkana FC ' Afe ' kwa Mchina

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Tumejitahidi hadi hivi sasa kwa Nguvu za Giza na kuna Goli 2 ila na Wao pia watapata Goli 1 hivyo ' Upepo ' bado unaweza ukawa siyo mzuri Kwetu. Na hali hii imekuwa ngumu hivi Kwetu kwakuwa kuna Mchezaji wao mmoja ' Mswahili ' mwenzetu amewashirikisha Watu wa Yanga FC na jana usiku hadi hivi naandika huu ' Uzi ' Watu hao wa Yanga FC wapo Sumbawanga kwa Mganga wao mpya ambaye ni ' Fundi ' hatari ili ' atuumize ' na ndiyo huyo anatupa taabu wana Simba SC hadi hivi sasa hilo Goli 1la Nkana FC bado linang'ang'ania na halitaki Kutoka.

NINI KIFANYIKE UPESI KWA MUJIBU WA BABU WA PEMBA ZANZIBAR ILI TUSHINDE KESHO?

Kwa ' Kinyota ' Kikosi cha Kesho kiwe hivi na msifanye kama ambavyo TFF na Benchi la Ufundi la Taifa Stars walivyonibishia tukafungwa na Lesotho:

1. Aishi Manula
2. Erasto Nyoni
3. Asante Kwasi
4. Paul Bukaba
5. Juuko Murshid
6. Jonas Mkude
7. James Kotei
8. Hassan Dilunga
9. Meddie Kagere
10. John Boko
11. Shiza Kichuya

Akiba Wawe hawa wafuatao:

1. Deogratius Munishi
2. Pascal Serge Wawa
3. Mohammed Hussein Tshabalala
4. Clatous Chotta Chama
5. Emanuel Okwi
6. Adam Salamba
7. Haruna Niyonzima

Ila Wachezaji wa kuwafanyia ' Sub ' Kipindi cha Pili wawe hawa tu pekee:

1. Clatous Chama
2. Emanuel Okwi
3. Haruna Niyonzima

Mchezaji ambaye anatakiwa Kesho abebe ' Mikoba / Uchawi / Ndumba ' ili aibebe Timu ni huyu:

Najua mara nyingi amekuwa ni mwoga na hapendi kabisa ila kwa ' Maslahi ' mapana ya Klabu yetu na kwakuwa Kesho Afe Punda Mzigo ufike hana jinsi ni Mdogo wangu Jonas Gerald Mkude ( na kama akikataa niambieni kwani najua ni wapi Mimi Kaka yake GENTAMYCINE nitakapommaliza na atatia adabu zake ) Nyota yake kwa Kesho iko vyema kwa 100% hivyo ' abebeshwe ' au kama mnaweza muishonee katika Jezi yake kama ambavyo tumekuwa tukimfanyia Yule Mchezaji wetu aliyetubeba sana Msimu ulioisha na tukawa Mabingwa.

Nini Kifanyike leo Usiku Uwanjani?

Mmiliki wa Uwanja wa Taifa ( Kwa Mchina ) tafadhali kwa leo utatusamehe kwani Simba SC sasa inawakilisha nchi hivyo tulia ' Wanamume ' tufanye Ulozi / Ndumba hapo Usiku na ukikataa ' tutakulaani ' sana. Wana Simba SC ambao hamna ' Uwoga ' kunahitajika leo ' Kuchinjwa ' Paka Watatu ( 3 ) nje ya Geti Kubwa, Mlangoni na karibia na Vyumba vya Wachezaji wa Nkana. Na sehemu ya Damu zao zinatakiwa zikamwagwe Uwanjani ila iwe ni Usiku wa leo tafadhalini.

Tahadhari

Kesho wakati wa mpira au kabla ya mechi Kuanza kuna Kitu kitatokea ila Wana Simba SC wote msiwe na Wasiwasi wala Kuogopa bali mtulie tu.

Malizeni na hili.

Mtafuteni Mtu yoyoye wa Kamati ya Ufundi ( Uchawi ) ili Kesho kabla ya Mechi afanye Kila awezalo na akamshike mkono Mchezaji Mswahili / Mtanzania Ramazani Kessy ambaye ndiyo atabeba ' Mzigo / Uchawi ' kwa Timu ya Nkana FC Kesho ili ' Kummaliza ' kabisa au kama ataweza ' amkumbatie ' ili Kumfunga kabisa.

Yakifanyika haya yote kama nilivyoelekeza hapo juu Kesho kuna Goli Mbili ( 2 ) kwa Sifuri ( 0 ) na Simba SC tutavuka kwenda katika Makundi. Nawatakieni kila la kheri na Maandalizi mema ya ndani na nje ya Uwanja ila mkae mkijua kwamba Nkana FC nao ' Wameroga ' sana huku wakisaidiwa na Mganga mahiri wa Yanga FC aliyepo huko Sumbawanga.

Nawasilisha.
 
Tumejitahidi hadi hivi sasa kwa Nguvu za Giza na kuna Goli 2 ila na Wao pia watapata Goli 1 hivyo ' Upepo ' bado unaweza ukawa siyo mzuri Kwetu. Na hali hii imekuwa ngumu hivi Kwetu kwakuwa kuna Mchezaji wao mmoja ' Mswahili ' mwenzetu amewashirikisha Watu wa Yanga FC na jana usiku hadi hivi naandika huu ' Uzi ' Watu hao wa Yanga FC wapo Sumbawanga kwa Mganga wao mpya ambaye ni ' Fundi ' hatari ili ' atuumize ' na ndiyo huyo anatupa taabu wana Simba SC hadi hivi sasa hilo Goli 1la Nkana FC bado linang'ang'ania na halitaki Kutoka.

NINI KIFANYIKE UPESI KWA MUJIBU WA BABU WA PEMBA ZANZIBAR ILI TUSHINDE KESHO?
Mtoeni sadaka Haji Manara, nanyi mtabarikiwa......
 
Ulipotea kwa gemu ya KMC naona hata hii ushapotea tayar, yaan Bukaba?

Paul Bukaba unaweza kumfananisha na Mzee na ' Mchomeshaji ' Pascal Serge Wawa? Kwanza naomba kujua umecheza mpira wa Kiwango gani labda mwenzangu? Paul Bukaba ni ' hazina ' kubwa sana kwa Simba SC tumuamini na tumtunze. Ana vitu vingi sana vizuri ambavyo kwa Mtu wa mpira atakubaliana nami kwa 100%.
 
Mkuu GENTAMYCINE unaonaje ukiwasiliana na uongozi wa Biashara FC ya Musoma,Mara?Uzuri wewe ni Mura na mimi natoka pande hizi hizi,so watatoa msaada mkuu.

Kwanini nasema Biashara FC?ni kwasababu kile walichowafanyia Alliance FC na timu zote zilizokuja kucheza pale uwanja wa Karume,Musoma katika hatua ya kufuzu Ligi Kuu,kilikuwa baaab kubwa!

Usiku wa kuamkia mechi dhidi ya Alliance FC (vijana waliokuwa wakitisha kwa Latin-American soccer yao ya pasi 3800);hawa Biashara FC walichinja mbuzi katikati ya uwanja wa Karume,kisha damu ikanyunyiziwa kwenye goli la kaskazini (sijui ilikuwaje tu maana Alliance walianzia goli hilo),wakachoma moto kanzu nyekundu katikati ya uwanja.Na amazingly enough, siku hiyo kuna maiti ya mtoto mdogo ilipotea ghafla mochuary pale hospitali ya mkoa,na ikaja kurudishwa mochwari kesho yake baada ya watu wa Biashara kumaliza kazi yao.Siku hiyo Alliance walikuwa kama wamefungwa pingu miguu...na walipigwa magoli safi kabisa.

Nieke Muraa?Fanyeni mambo hao Nkana wafe.They're Red Devils but we're not afraid of them as we have a massive army of strong black magic.And here we goooooo!!!
 
Eeeh hao Biashara kwenye ligi sasa hivi ni wangapi na mbona wanashindwa kupata ushindi hata Uwanja wao wa nyumbani?
 
Back
Top Bottom