Wana Simba SC hatutaki kuwa Bingwa wa Umaarufu Mitandaoni, bali tunataka Ubingwa wa NBC, CAFCC au CAFCL tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Leo Klabu ya Simba imekabidhiwa Tuzo ya Klabu Bora kwenye Mitandao ya Kijamii Tanzania ambayo imetolewa na kampuni ya Serengeti Bytes. Tumeshinda tuzo hii baada ya kuvishinda kura vilabu vya Azam FC, Mbeya City, Ruvu Shooting na Yanga SC.

Chanzo: Simba SC Tanzania

Mnatumia nguvu Kubwa kufanya 'Ushawishi' kwa Makampuni mbalimbali ili tu wawe wanaitangaza sana Simba SC au hata kuwapa Tuzo fulani ili muwapoze Mashabiki hasa baada ya kufanya Vibaya Msimu huu kutokana na Uzembe wenu na Dharau zenu za Kutowasikiliza Watu wanaoijua Simba SC kuliko nyie mliojazana hapo Klabuni lakini mmejaa Unafiki, Uchawa na Upigaji mtupu tu..

Kwa Mashabiki wa Simba SC wenye Akili Kubwa na Ufahamu mbalimbali wa Masuala huu tunauita ni Upuuzi mtupu!!!!!!!
 
Ni utaahira mtu mzima kufikiri kuwa kuna timu itakuwa bingwa kila mwaka, yaani inashinda tu makombe yoote!!
Pia ni Utahaira kwa Timu Kubwa na iliyopata Mafanikio ya Mkupuo kukosa hata Kombe Moja la maana ndani ya Msimu Mmoja.
 
Leo Klabu ya Simba imekabidhiwa Tuzo ya Klabu Bora kwenye Mitandao ya Kijamii Tanzania ambayo imetolewa na kampuni ya Serengeti Bytes. Tumeshinda tuzo hii baada ya kuvishinda kura vilabu vya Azam FC, Mbeya City, Ruvu Shooting na Yanga SC.

Chanzo: Simba SC Tanzania

Mnatumia nguvu Kubwa kufanya 'Ushawishi' kwa Makampuni mbalimbali ili tu wawe wanaitangaza sana Simba SC au hata kuwapa Tuzo fulani ili muwapoze Mashabiki hasa baada ya kufanya Vibaya Msimu huu kutokana na Uzembe wenu na Dharau zenu za Kutowasikiliza Watu wanaoijua Simba SC kuliko nyie mliojazana hapo Klabuni lakini mmejaa Unafiki, Uchawa na Upigaji mtupu tu..

Kwa Mashabiki wa Simba SC wenye Akili Kubwa na Ufahamu mbalimbali wa Masuala huu tunauita ni Upuuzi mtupu!!!!!!!
Duniani hakuna shabiki andazi kama wewe. Timu kuteleza mara moja ndani ya misimu mitano povu kibao! Wewe unadhani hii ni league ya Simba peke yake? Jibu ni hapana, vilabu vingine vinashiriki na kutaka mafanikio pia. Povu lako lingekuwa na maana kama timu inge-flop mara tatu au zaidi.
 
Umemoa kuntu
 
Back
Top Bottom