Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdotoniYanga 3 vs Simba 2
Yah....usiku wa kuamkia jana nimeoteshwa hivo hivo, yaani Yanga 3 - 2 Simba.....narudia Yanga 3 - 2 Simba.Yanga 3 vs Simba 2
Hao bila uchawi hawachezi mpira.Mpira wa Tanzania bana ,yaani kusajiri kote huko bado watu wanaamini uchawi
Hahaha ,asee kazi ipoHao bila uchawi hawachezi mpira.
wapi umechukulia madamNiko na ticket yangu hapa
Simba nguvu moja
Wouzeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Duh [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Vipi zile maiti mbili kutoka Ukara mlizoambiawa na mganga mzilete Dar mmefanikiwa kuzipata?
Tiketi zinakatwa wapi mkuu? Nimekuja jijini hivi karibuni kushuhudia hili pambanoAisee mkuu Gentamycine tunaunga mkono juhudi zenu hapo taifa na ticket nimeshakata tayari
Niko na ticket yangu hapa
Simba nguvu moja
Wouzeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kwa wakala wa selcomwapi umechukulia madam
Shosti chonde chonde usije ng'oa kiti hukoo