Wana Simba SC ' Kazi imekwisha ' kata Tiketi yako haraka tarehe 30, Septemba 2018 Yanga SC anafungwa 2 kwa 0 Uwanja wa Taifa

Elimu, elimu,elimu! Katika milenia hii Watanzania bado tunaamini matokeo bila kazi. Ndiyo maana hadi leo bado tunapampana kutinga fainali za Africa Cup of Nations.

Kama ndumba zingekuwa zinaleta matokeo, timu zetu zingekuwa mabingwa wa kihistoria bara la Africa.

Vv
 
Napendeke

za adake kindoki ili tuwafurushe mengi

Simba nguvu moja
 
Sijawahi kusikia liverpool wakijitapa kabla mchezo kuwa wataibamiza man u. Kitu hiki hatujarithi kutoka kwa wenye game yao!
 
Aisee mkuu Gentamycine tunaunga mkono juhudi zenu hapo taifa na ticket nimeshakata tayari
Tiketi zinakatwa wapi mkuu? Nimekuja jijini hivi karibuni kushuhudia hili pambano
 
Mbona hazitoshi. Naona zileeee five star zinawahusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…