Samboko JF-Expert Member Joined Oct 30, 2011 Posts 5,420 Reaction score 7,788 Sep 28, 2018 #41 Mi niliota usiku wa jana mashabiki wa simba wameng'oa viti, mageti, na magoli hapo kwa mchina ila sijajua kama walifungwa au nn kilitokea, Na ndoto zangu hua zina ukweli 98.8%
Mi niliota usiku wa jana mashabiki wa simba wameng'oa viti, mageti, na magoli hapo kwa mchina ila sijajua kama walifungwa au nn kilitokea, Na ndoto zangu hua zina ukweli 98.8%
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 Sep 28, 2018 #42 Huwa hamchelewi kuweka Mpira kwapani mapumziko