Wana Simba SC mnaoweweseka na Tetesi za Clatous Chama kwenda Yanga SC mmeanza Kuijua na Kuifuatilia Simba SC lini? Mnaniangusha

Nasikia huyo Hussein Marsha alikua ni fundi hatari, chama akasome.....

Nimesimuliwa na alomshuhudia huyo jamaa live...
Sasa mpaka Rais wa Liberia ( zamani akiwa Mchezaji wa Kulipwa wa Kimataifa ) Mheshimiwa George Opong Weah Tanzania ilipocheza na Liberia pale Shamba la Bibi alimpigia Salute Hussein Amaan Marsha na Kumshangaa kwanini bado alikuwa Simba SC na Tanzania unadhani alikuwa ni Mtu wa Kawaida?
 
MAKOLO BANA!!ULIBWANJI
 
Kuna mtu aliitwa "Ball Juggler"
au Malota Soma.
 
Tukiachana na story za kusadikika za wazee wa zamani waliwahi kucheza soka hapa nchini kiukweli toka ligi hii ianze hakujawahi kuwa na mchezaji wa kiwango kikubwa kama chama that man ni another level hakuna na hakuwahi kuwepo before tusubiri miaka mingne huko ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…