Wana Simba SC, piga kura kama unataka timu ichukuliwe na Mo Dewji au la

Wana Simba SC, piga kura kama unataka timu ichukuliwe na Mo Dewji au la

teh teh karibu mwadui fc
Mimi Mwadui ni nyumbani Mkuu maana

1. Kocha Mkuu wa Mwadui ni moja wa malegend waliopita Msimbazi naowaheshimu sana.
2. Pia Mwadui wanatoka mitaa yangu ya kujidai Shybush.

Hivyo shukrani Mkuu.
 
Back
Top Bottom