Wana Simba SC tutaje wachezaji tunaoona hawatufai msimu ujao


Ndugu Eden kama hayo ndio mapendekezo ya benchi la fundi basi tutegemee Simba mpya tishio nje na ndani ya nchi. Kwa jicho la tatu niliona kwa mapungufu yaliyopo Simba kwa sasa ni wachezaji 10 wapya. Lakini benchi la ufundi kwa kuwa wao ni wataalam zaidi na wanajua zaidi wameona wachezaji wanaohitajika ni saba tu. Na iwapo watapata watu sahihi kwenye beki zote za pembeni,winga mmoja, mshambuliaji mmoja wa kati, beki za kati (pale yupo wa maana mmoja tu Erasto) na kiungo mkabaji mtu wa kazi basi Simba itatisha Tanzania na Afrika kwa ujumla.
 
Itatisha wapi wewe,mikia mnakaa hapa kudanganyana na kusifiasifia tu,hamna lolote!
 
Alonazo taarifa za huyu jamaa Ange Baresi atupe japo dodoso!! Maana nasikia kesha saini simba!!
 
Kelvin John aka mbappe, huyu bwana mdogo ni super talented!! Sijui benchi la simba huwa halimuoni huyu kijana, ila ngoja tuone usajili umalizike
 
Kelvin John aka mbappe, huyu bwana mdogo ni super talented!! Sijui benchi la simba huwa halimuoni huyu kijana, ila ngoja tuone usajili umalizike
Simba hata wakimtengea 100m haitakuwa hasara,anafaa sana katika succession plan
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…