Wana Simba SC tutaje wachezaji tunaoona hawatufai msimu ujao

Wamesema wanahitaji wachezaji saba tu kwa mujibu wa ripoti ya mwalimu

Beki wa kulia, beki wa kushoto, wote wa kimataifa. Kutoka nnje

Mabeki wawili wa kati. Wote wa kimataifa kutoka nnje

Kiungo mkabaji mmoja wa kimataifa kutoka nnje.

Mshambuliaji mmoja wa kimataifa kutoka nnje.

Na winga mmoja wa ndani.

Ndugu Eden kama hayo ndio mapendekezo ya benchi la fundi basi tutegemee Simba mpya tishio nje na ndani ya nchi. Kwa jicho la tatu niliona kwa mapungufu yaliyopo Simba kwa sasa ni wachezaji 10 wapya. Lakini benchi la ufundi kwa kuwa wao ni wataalam zaidi na wanajua zaidi wameona wachezaji wanaohitajika ni saba tu. Na iwapo watapata watu sahihi kwenye beki zote za pembeni,winga mmoja, mshambuliaji mmoja wa kati, beki za kati (pale yupo wa maana mmoja tu Erasto) na kiungo mkabaji mtu wa kazi basi Simba itatisha Tanzania na Afrika kwa ujumla.
 
Itatisha wapi wewe,mikia mnakaa hapa kudanganyana na kusifiasifia tu,hamna lolote!
 
Alonazo taarifa za huyu jamaa Ange Baresi atupe japo dodoso!! Maana nasikia kesha saini simba!!
 
Kelvin John aka mbappe, huyu bwana mdogo ni super talented!! Sijui benchi la simba huwa halimuoni huyu kijana, ila ngoja tuone usajili umalizike
 
Simba hata wakimtengea 100m haitakuwa hasara,anafaa sana katika succession plan
 
Simba inaweza kuwa ngazi nzuri ya kuonekana kimataifa. Angekuwa ndugu yangu ningemshauri asaini hata bure ila mkataba uruhusu kutimka mda wowote,kama mkataba wa Kichuya ulivyokuwa
Nfikiri hana washauri wazuri, sasa huko nje watamuonaje bila kuwa na klabu
 
Back
Top Bottom