Wana Simba tuko nyuma yako Mo Dewji, tunaunga mkono maamuzi yoyote magumu ndani ya bodi

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Mo Dewji ameposti katika page yake kuwa anajiandaa kusafisha wale wote wanaonekana hawaendani na mipango yake na watamuangusha, ameona akiendelea kupanda chombo kimoja na watu wanaotaka kuzamisha mtumbwi walioupanda, atakufa, ni afadhali awazamishe ili aendelee na safari, cha msingi namshauri Mo Dewji, mkutano mkuu maalum unahitajika ili akawaeleze viongozi wote wanaoivuruga Simba kwa maslahi yao binafsi, moyoni kama watu vile kumbe hakuna kitu, vunja bodi hiyo tajiri na kisha mwagize Ceo aitishe mkutano tuweke wajumbe wapya wasiopiga dili
 
Mnaanza kugawana mbao sasa
usisahau hata utopoloni wako watu kama kina magoma wanasubiri team iteleze kidoogo waanze vurugu, hakunawa kugawana mbao na wapuuzi , miaka 4 hii team ainazoa vikombe walikuwa wanaumia kweli sasa timing yao mbaya sana team imefika robo fainali na bado inarudi klabu bingwa eti wanataka wazue vurugu, subiri tu huko utopoloni mteleze utawaona watu wa aina hii kina magomamoto
 
Matola anapaswa kutoka hapo ,why yeye haguswi? Na angekua Bora Basi Simba ingekuwa mbali Sana ,haiwezekan makocha kila Leo wanafukuzwa yeye anabaki kuwa msaidizi tu .

Mashabiki mshaanza kutupa wasiwasi juu ya huyu matola ,au ndio mganga wa timu maana hajawah guswa kaabisa.

Kama makocha wakuu wanaguswa why yeye haguswi?
 
Ni mwanahisa, anamiliki 1% za hisa za klabu
 
Mo Dewji ameposti katika page yake kuwa anajiandaa kusafisha wale wote wanaonekana hawaendani na mipango yake na watamuangusha, ameona akiendelea kupanda chombo kimoja na watu wanaotaka kuzamisha mtumbwi walioupanda, atakufa, ni afadhali awazamishe ili aendelee na safari, cha msingi namshauri Mo Dewji, mkutano mkuu maalum unahitajika ili akawaeleze viongozi wote wanaoivuruga Simba kwa maslahi yao binafsi, moyoni kama watu vile kumbe hakuna kitu, vunja bodi hiyo tajiri na kisha mwagize Ceo aitishe mkutano tuweke wajumbe wapya wasiopiga dili
Na katiba ya Simba inaruhusu rais wa heshima kuvunja Bodi.
 
Matola anapaswa kutoka hapo ,why yeye haguswi? Na angekua Bora Basi Simba ingekuwa mbali Sana ,haiwezekan makocha kila Leo wanafukuzwa yeye anabaki kuwa msaidizi tu .

Mashabiki mshaanza kutupa wasiwasi juu ya huyu matola ,au ndio mganga wa timu maana hajawah guswa kaabisa.

Kama makocha wakuu wanaguswa why yeye haguswi?
Matola yupo pale kistratejia kama shushushu wa Rais wa heshima Mo ktk suala ya ufundishaji wa timu, kama ambavyo CEO wetu barbara yupo kwa niaba ya MO kwenye utendaji wa klabu. Hakuna mwekezaji/tajiri mjinga yaani awekeze pesa halafu kusiwe na watu (wapambe) wa kulinda maslahi yake. Hata akitolewa bado Mo atamtafuta mzawa mwingine mwenye uchungu na simba akae pale ili aripoti kila mpango unaoendelea.
 
subiri wakishafika hatua ya mchakato wao kupitishwana FCc wataelewa haya yote au uchaguzi huu unaokuja huko kwao waone jinsi GSM atakavyoweka watu wake, wataelewa hili la injinia na albino ni cha mtoto
 
Matola anapaswa kutoka hapo ,why yeye haguswi? Na angekua Bora Basi Simba ingekuwa mbali Sana ,haiwezekan makocha kila Leo wanafukuzwa yeye anabaki kuwa msaidizi tu .

Mashabiki mshaanza kutupa wasiwasi juu ya huyu matola ,au ndio mganga wa timu maana hajawah guswa kaabisa.

Kama makocha wakuu wanaguswa why yeye haguswi?
Shushu wa mo pengine
 
Kama timu imepoteza malengo yote iliyojiwekea inamana CEO hatakiwi kuwepo kazin Bodi ilipaswa imuhoji na kumtimua
 
Yule kigwangala anapiga kelele ukimwambia lipa mishahara ya wachezaji hata mwezi mmoja basi ana haha ila kazi yake ku type tu sijui huo mda anautoa wapi.
 
Asafishe tu wana simba tuko pamoja na Dr.Mo Dewji Rais wa heshima,aanze na Kassim Mandevu mpigaji mkubwa kuliko wote pale Simba.
Sasa SI kasim Dewj ni ndugu yake vipi atawezajw kumfukuza.Naipenda Simba kwa maoni yangu hii club angauziwa MO aifanye ya kimataifa ili migogoro iishe na sisi tubaki mashabiki tu Kwa Sababu wengi wetu ni wapiga kelele tu wakati hata sh mia hatuchangii.
 
Muddy anawajulia sana kucheza na akili za mashabiki wa makolo aisee, alianza mbwembwe kwenye kuchangia uwanja na sasa la kufagia
 
Kasim Dewji alizoea kupewa Tenda ya kuzalisha jezi za Simba bila ya kutoa chochote …

Fred Vunja bei kaweka mezani 2 billion kupewa tenda kama alihisi anaweza kuweka mzigo zaid aseme
 
Sasa SI kasim Dewj ni ndugu yake vipi atawezajw kumfukuza.Naipenda Simba kwa maoni yangu hii club angauziwa MO aifanye ya kimataifa ili migogoro iishe na sisi tubaki mashabiki tu Kwa Sababu wengi wetu ni wapiga kelele tu wakati hata sh mia hatuchangii.
Alishindwa kuzimiliki Singida United, African Lyon akaziuza kweli ataiweza Simba!
 
Kama timu imepoteza malengo yote iliyojiwekea inamana CEO hatakiwi kuwepo kazin Bodi ilipaswa imuhoji na kumtimua
Mpira haupo hivyo...CEO wa timu ni tofauti na CEO wa mashirika ya uma au ya kiserikali. Timu huwa zina utendaji mpana , timu inapofanya vibaya watu wanaokuwa accountable ni kocha na benchi lake la ufundi na pia mkurugenzi wa ufundi wa timu (technical director), CEO na board members wao wanashughulikia mambo ya kuiongoza timu kama taasisi ila masuala ya matokeo ya uwanjani huwa hawawajibiki. Wao kazi yao ni kufanyia kazi mapendekezo ya kocha ktk usajili, kushughulikia masuala ya kiuchumi ya timu n.k...wakishatimiza mahitaji ya kocha ,jukumu la timu kupata matokeo ni la kocha na benchi lake la ufundi.
 
Back
Top Bottom